Wanaume kamili tukikutana hatuulizani majina, kabila hata kazi, hongera kwetu vidume vya mbegu

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,279
1,942
Wanaume tukikutana sehemu halafu hatujuani majina yetu halisi
1. Mwamba
2. Chief
3. Jombaa
4. Mtaalam
5. Kiongozi
6. Blood
7. Kijana
8. Jeshi
9. Captan
10. Babu
11. Dingii

Mwanaume halisi ana koromelo , sio mtu wa maneno maneno
Ukikutana na mwanaume mwenye maneno kama demu kimbia huyo , sio kidume
1706352179864.jpg
 
Man
Wakwao
Wakwetu
Mtumbad
Jomba
Mkali
Chifu
Baloz
Kamanda
Bingwa

Ukitaka kuaondoka
Sasa mishale basi
Oya mida
Nilikuwepo
Tomorrow
Kama vip tutameet
Time imesepa
Tutabonga

Úkitaka kumsifia mtu
Yule fala anahela
Yule kum*yupo vizur
Yule mseng* anamali

Ukitaka kuomba kitu
Oya we kum*huna buku hapo
Oya we kilaza niazime buku5
Oya mwamba nibust basi
Oya wana nipeni njia
 
Wanaume tukikutana sehemu halafu hatujuani majina yetu halisi
1. Mwamba
2. Chief
3. Jombaa
4. Mtaalam
5. Kiongozi
6. Blood
7. Kijana
8. Jeshi
9. Captan
10. Babu
11. Dingii

Mwanaume halisi ana koromelo , sio mtu wa maneno maneno
Ukikutana na mwanaume mwenye maneno kama demu kimbia huyo , sio kidumeView attachment 2983876
Wataulizana juu ya kazi ilhali inajulikana ni waporaji!
 
Jina sio kitu cha siri, ni utambulisho wako..... waliostaarabika hujitambulisha kabla ya salamu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom