Urafiki wa Azam na Simba unaua soka letu

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,609
5,738
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
 
Kabla ya Leo azam alifungwa mechi mbili na droo sita, je alikuwa anacheza kama mjamzito ili kuibeba Simba? Kubali kataa madogo wanaopewa nafasi na mgunda wanajituma sana maana ndio kwanza wanajitafuta kupata namba za kudumu.
 
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo
Azam aliwapa Ngasa Simba
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi
Una macho malyenge na ubongo malyenge!! Kwani mpira umeona peke yako?

Kama tunekuchania mkeka sema tu tukukopeshe UTOPOLO wewe
 
Hakuna swala la kuuza mechi wala nini wachezaji wa Azam huwa hawana ukomavu kwenye mechi inayobeba hatma yao.
1) utoto mwingi
2) ustaa mwingi kutaka kucheza mpira wa madoido
3) Nidhamu kwa mpinzani hawana hasa wakishaona timu inaimudu.

Walivyocheza leo hawakuwa tofauti na walivyocheza na wale Wa Ethiopia.
Mpira ulivyoanza dakika 15 za kwanza tu unaona wana mapungufu makubwa sana kwenye eneo la ulinzi wakina hawana mipira, ni kama walijiona ni bora sana kuliko Simba.

Approach ya Simba ilikuwa ni nzuri sana waliingia kwa kuwaachia Azam wachezee mpira halafu wao wakipata mipira pasi kadhaa wapo golini kwa Azam ni mbinu iliyofanikiwa maana Azam walibaki wachache langoni kwao ila Chasambi na Balua wakawa wacheleweshaji wa move. Simba walikuwa na mpira objective huku Azam wao ni kujifanya mastaa.

Kipindi cha pili Azam mbele kwenye lango la Simba hawaonekani na pia golini kwao pia wakawa wachache yaani haijulikani wanachokifanya uwanjani ni kipi sio kushambulia wala kupaki bus vyote walishindwa kuonesha uwanjani.
Hii timu ina tatizo katika fikra.
 
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo
Azam aliwapa Ngasa Simba
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi
Wanayanga ni kama mwanamke mjamzito tu.Mara aombe kande saa 8 usiku,mara aseme chakula kigumu hakifai au anaomba ice cream,ukimpa anasema maziwa yanampa kichegu chefu Hawaeleweki
 
Back
Top Bottom