Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,199
- 4,121
Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu?
Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma?
Mwaka huu wa 2024 tutakwenda kuwa na zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwaka ujao wa 2025 kutakuwa na uchaguzi wa Serilaki kuu, hili ni zoezi muhimu sana katika kufanya maamuzi ambayo yanaweza kugeuza dira ya Tanzania tuliyonayo sasa na kuwa vile tunavyoitamani.
Hivyo kila mmoja ana wajibu wa kushiriki kuchagua kiongozi na kutoa maono ya aina gani ya viongozi anaowataka na pia viongozi asiwaowataka na tabia ambazo inabidi wawe nazo.
Je, unashauri nini kwa mtu anayetaka kugombea, aweje, afanye kitu gani na kitu gani asifanye ili kuipeleka Tanzania kule tunapotaka ifike?