1. Wengine husema siasa ni mchezo mchafu na hasa maelfu ya maisha ya watu yanapopotea kwa ubinafsi yaani ego ya mtu, labda hata ni mmoja tu!
2. Kutokea meza ya mazumgumzo Cairo, yasemekana Natenyahu kumbe alishafika bei kwa kutaka au kushurutishwa.
3. Kwamba tulipo, tuko kwenye tutoke vipi zaidi, japo ili hata watoto wadogo wasije wakapata kuona "mzee mzima" alivyolowa chapa chapa!
4. Kwamba Natenyahu sasa kwake umuhimu zaidi, uko kwenye: "inakuwaje yeye baada ya vita!"
5. Kumbe tusemeje kina sisi ambao ni waumini wa zile siasa za kistaarabu kwa maana yake halisi? Tofautisha hizi na zile wazitakazo CCM.
6. Ndiyo maana wanasema vijana wa Tandale, kunako "mwagwa maji" wakacheza kama kambale: "siasa ni ny*ko!"
7. Wale mashabiki wa Natenyahu tegemeeni tamko hivi karibuni kusikia Israel imeridhia makubaliano kwa sharti la vigogo wote wa HAMAS kwenda uhamishoni Qatar au Iran huko; kwamba kutakuwa, hakuna tena HAMAS Gaza!
8. Kwamba baada ya hapo tutaanza awamu nyingine tukiita ya "surgical operations." Yaani kuwindana kama paka na panya hadi tuweze ku "square holes" itakavyowezekana na "as long as necessary!"
9. Kwamba sharti litakuwa watuhumiwa kadhaa wa HAMAS, wasirejee tena Gaza hata milele: "Amina!"
10. Bila shaka kama bwana Misosi, tutoke vipi ndiyo iliyo iliyo mission kuu Israel: "Mission to Tel Aviv:"
11. Mission muhimu sana kwake mkurugenzi, William Burns:
12. Tuendelee kusubiri, nyama zinaweza kuwepo bado zaidi, chini.