David Kafulila: Tayari wawekezaji wa Umeme wa Upepo na Jua wameonesha nia ya kuwekeza kwa Ubia na Serikali

Financial Intelligence

Senior Member
Sep 29, 2023
156
336
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.

Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya kukamilika kwake litatoa jumla ya Mega Watt 2,100 bado kama Taifa tunahitaji kuimarisha zaidi upatikana wa Umeme nchini kupitia vyanzo mbalimbali kwani Nishati ndio karibu kila kitu.

Kafulila katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV ameuambia umma wa Watanzania kwamba juhudi za Serikali ya awamu ya sita ni kubwa katika kuhakikisha Taifa linakimbia kimaendeleo kwani tayari kunawawekezaji kwa njia ya UBia na Serikali wameshaonesha nia ya kuwekeza Umeme wa Upepo na Jua Singida, Shinyanga, Dodoma & Same.

Kama haya yote yalikwama tangu enzi na enzi na Leo Mama anayafanya lazima tukatae Ubaguzi na kubaguana kwa namna yoyote ile katika Taifa letu.

#SAMIAMITANOTENA.
 
Hii miradi ya umeme haina tija kama bei ya umeme haishuki.kipindi wanaanza ujenzi wa JNHEPP walituahidi bei ya umeme utashuka lakini wameingia mchwa(maharage chande)wakatengua maamuzi wakasema hakuna Kushusha bei.sasa kama hamshushi bei kunafaida gani Sasa ya hii miradi? Kama hamshushi ni bora tukaachana na hiyo miradi lukuki
 
Watakwambia Hilo alisema marehemu
 
Chief Executive Officer wa PPP Tanzania Bwana David Kafulila amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imeamua kuzika kabisa tatizo la Umeme Tanzania.

Pamoja na Bwana la Mwl Nyerere (SG) baada ya kukamilika litatoa jumla ya Mega Watt 2,100 bado kama Taifa tunahitaji kuimarisha zaidi upatikana wa Umeme nchini kwani Nishati ndio karibu kila kitu.

Kafulila katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV ameuambia umma wa Watanzania kwamba juhudi za Serikali ya awamu ya sita ni kubwa katika kuhakikisha Taifa linakimbia kimaendeleo.

Kama haya yote yalikwama Leo Mama anayafanya lazima tukatae Unaguzi wa aina yoyote kati yetu

#SAMIAMITANOTENA.
View attachment 2986312
Umeme wa upepo wa nini wakati tuna umeme umezidi mpaka tunazima mitambo?
Hivi mnatuonaje?
 
Back
Top Bottom