Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,892
27,209
Breaking: Benchika ameachana rasmi na Simba SC baada ya makubaliano ya pande zote mbili.

Pia soma:

Screenshots_2024-04-28-19-58-01.png

----
Kocha mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha pamoja na wasaidizi wake rasmi wameachana na klabu ya Simba baada yakufikia makubaliano ya pande zote mbili.

Kwa sasa Juma Mgunda atakuwa Kocha mkuu wa muda kwa Simba na msaidizi wake ni Seleman Matola, Michael Igendia atakuwa kocha wa viungo.

20240428_144929.jpg
 
Jamaa alikua anarusha mateke inakutana na mikono uku kichwa chenye upara kikitoa jasho kama kimepakwa mafuta ya nazi unafanya mchezo na mibumbumbu.
Hii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku🤣🤣 sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii hali
images.jpeg-71.jpg

Kocha la Makombe likiwa linatafakari kunyakua kombe la muungano
 
Hii siku ikabidi atulie kwanza atafakari amefikaje huku🤣🤣 sidhani kama alishawahi kufikiria kwenye maisha yake atakutana na hii hali
View attachment 2975985
Kocha la Makombe likiwa linatafakari kunyakua kombe la muungano
Maisha ni safari ndefu toka kua bingwa wa shirikisho Afrika mpaka kua kocha wa mabingwa wa Muungano..
Tena ubingwa wenyewe unapewa na goli la babaka asali..
 
Back
Top Bottom