FT: Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League| Azam Complex | 06.05.2024

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
8,093
11,388
20240506_171822.jpg


All the Best Mnyama 🦁

Updates za Mchezo wa Leo..

Kikosi cha Simba Kinachoanza.
20240506_173043.jpg

Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora

DK 5'
Game on
0-0

DK 10'
Mpira unaendelea
0-0

DK 19'
Goooooooooooal
Sadio Kanoute anatia goli wavuni.
Simba wanapata goli la kuongoza hapa.
1-0

DK 35'
Game On
Matokeo ni 1-0
Bado Simba anaongoza kwa goli moja.

20240506_191237.jpg


Kipindi Cha Pili.

DK 49'
Game On
1-0.

Mpira unaendelea
Dk 60'
1-0
Simba bado wanaongoza.

DK 66'
Mpira unaendelea
1-0
Simba wanaongoza kwa goli lililofungwa na Sadio Kanoute.

DK 73'
Simba wanafanya mashambulizi yakushtukiza kwenye lango la Tabora.

Matokeo
1-0

DK 77'
Goooooooooooal…….!!!!
Edwin Balua anaweka la pili kwa Simba.
Chuma cha moto kabisa hapa.
Hakika Benchika kuna vitu alikuwa hana uwezo wa kuviona kabisa

Simba 2-0 Tabora United.

90+5'
Simba 2- 0 Tabora United

20240506_201340.jpg
 
Back
Top Bottom