johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,724
- 145,582
Ni kwamba Katiba iko Wazi ila kuna Watu labda walitaka kufanya Janjajanja 😂
Wenzetu Iran Katiba inasema Rais akifa Makamu wa kwanza wa Rais anaassume madaraka ya Rais baada ya kuthibitishwa na Supreme Leader
Kisha ndani ya Siku 50 uchaguzi wa Rais unafanyika, na kila Mwananchi anaelewa hili hawahitaji kutafsiriwa
Mungu wa Mbinguni awabariki nyote 😀