Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Duniani kote hakunaga maskini wanaoteteana kwa sababu Sauti yao iko chini sana haipai kufika Juu

Hivyo ni mabilionea hawa hawa ambao wachache wao Mungu wa Mbinguni amewabarikia UTU ndio hujilipua na kuwatetea maskini na Wanyonge

Hima tumuunge mkono Komredi Makonda, tumuunge mkono Freeman Mbowe na tumuunge mkono Tundu Antipas Lisu kila wanapojitoa Kulitetea kundi hili la " Walalahoi" na " Wana Kikokotoo"

Jumaa Mubarak 😀
 
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.

Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.

Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.

Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.

Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
 
Huyo jamaa, hata Marekani wamempiga marufuku kuingia nchini mwao, Kwa kuwa WANAZO taarifa za kiintelejensia kuwa anawanyima wananchi wake haki yao ya kuishi!
 
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.

Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.

Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.

Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.

Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
Tunasubilia amalize kuandaa sherehe za mei mosi tumuage na kumuaga hiyo siku maana atalopoka tu si kichwa maji
 
Makonda anadhani bado tuko utawala wa JPM ambapo aliweza hadi kudhulumu uhai wa watu. Mama hana hayo mambo ya kikatili. Ampige tu chini kujiepusha na mtu mchafu kama Makonda.
Unataka kutuaminisha hapa Samia sio katili?
Wadanganye wajinga wenzako huko kama unataka kuona ukatili ya serkali nenda kawaulize waliopotelewa na jamaa zao chini ya utawala wa Samia pia kawaulize Wamasai wa Ngorongoro!
Makonda hakujiteua mwenyewe wala hatukuwahi kumuona akijipendekeza kwa Samia na CCM kipindi alichokuwa nje ya chama na serkali!
 
Hao wajinga na team yao ya msoga JPM amewapa za uso kwe utafiti wa the citizen wanakuja kumshambulia Makonda huku wanajua kabisa team Msoga haina chake tena!
Hehe hawa kuna sehemu wameminywa, maana kwa jinsi wanayotapatapa hizi siku za karibuni hali ni mbaya halafu hapo shoo ni ya mtu mmoja tu MAKONDA, akiongezeka mwingine hawatalala kabisa
 
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.

Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.

Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.

Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.

Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
Vipi kuhusu Shaka Hamdu Shaka ma Bi. Sophia Mjema nao hawakukaa muda mrefu kwenye nafasi ya uenezi. Una lolote la kuwasemea?

Jokate Mwengelo amedumu kama katibu wa UWT taifa miezi miwili tu. Je una chochote cha kuchambua?
 
Wamerekani wametoa tamko kuwa kama makalio makubwa ataendelea kuwa RC wamerekani hawataenda kutembelea mbuga za wanyama tena kupitia Arusha.
Share chanzo, Hii si habari ndogo kwa mustakabali/siha wa(ya) Taifa
 
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.

Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.

Makonda ameshawekwa kati na kamati ya maadili ya CCM na hiyo ni dadili mbaya kwake.

Cha msingi zaidi ni washauri wa kisiasa wa rais Samia ambao ni dhahiri hawamshauri vizuri katika mambo mengi.

Sasa hivi Makonda atabaki madarakani kwa kitambo kidogo kuondokana na aibu ya teua tangua lakini mwishoni ataachwa mazima. Tusubiri muda ufike.
hawezi kuachwa bali atasalia katika utumshi wa umma katika maeneo mengine ya kiutendaji 🐒
 
Back
Top Bottom