Kosa la kutoa taarifa kwenye mitandao linahusika vipi na upekuzi kwenye makazi ya muhusika?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,707
8,909
Waliosoma Cyber watueleze ili na wanasheria. Mfano nina kitecno changu nimesambaza taarifa kimakosa au sio makosa inakuwaje waende nyumbani kupekuwa wakati kilichofanya kosa au si kosa ni simu na mimi mtoa ripoti.

Nashukuru sana mitandao ya kijamii kama Facebook, Whatsapp kampuni zenu kuwa mbali isingekuwa hivo hata nyie mngepekuliwa maofisini
 
Lazima upekuzi ufanyike kwa sababu wao hawawezi kufahamu ni vifaa vingapi vya ki elektroniki ulivyo navyo unavyotumia kufanya usambazaji huo. 🤒😎
 
Hamna kingine zaidi ya kukuumiza kisaikolojia ili uweze kujifunza na kujutia ulichokifanya, unapopekuliwa ni sawa na kuingiliwa uhuru wa faragha zako. Kimsingi wanakujua nje mpaka kopo la chooni unalotumia kuchambia!
 
Back
Top Bottom