Nani mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya “Victoria”?

Twinawe

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
2,372
5,142
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake. Napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini, au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji?

Kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
 
Tajiri wa hizi sheli kafanikiwa kumaintain discipline na uaminifu kwa wafanyakazi wake napendezwa sana na utamaduni wao karibia kwa sheli zote.

Naonaga zinapigwa nyimbo za dini au ni sheli ya kanisa fulani au mchungaji kiukweli huduma zao ni bora bila kusahau wahudumu wa kiiraq.
Anaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.

Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.

Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.

Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.

Ova
 
pale kuna mnara wa mawasiliano ya ndege?
sijawah kuzingatia hii
 
Anaitwa Harlod Matemba. Yeye pia ni Mchungaji wa kanisa lake. Aliwahi kupata zabuni ya kujaza mafuta baadhi ya magari ya serikali, akakua.

Sijui kama hadi sasa bado anayo hiyo zabuni. Yeye ni mtu wa dini ya Kikristo kwelikweli hata sehemu kubwa ya staff wake ni Wakristo pia.

Aliwahi 'kupigwa' na wajanja kwa kuuziwa sehemu ya kiwanja cha Kanisa Katoliki, pale Msimbazi Center, jirani na mnara wa mawasiliano ya ndege.

Akaweka kituo cha kuuzia mafuta. Ila kanisa kwa busara, iliamua kumuuzia upya kihalali ili kumpunguzia hasara ya kuondoa kituo chake.

Ova
Aisee nilijua tu atakuwa Mchagga
 
Mimi nilidhani ya mama Anna Mkapa
 
Back
Top Bottom