aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,650
- 3,662
Huu ni mkoa ambayo kama kungekuwa na sera ya majimbo basi lingekuwa jimbo tajiri nchini
-Wanabandari ya Tanga pia pangani panaweza kujenga bandari.
-Wanazalisha umeme hale na pangani unaoweza jitosheleza mkoa mzima
-Wanazalisha soda zao wenyewe helto ambazo zinawatosha kwa matumizi ya mkoa pia. Wanaviwanda vya sabuni mafuta
-Wanakiwanda cha cement cha simba pia now kuna kiwanda cha rhino kinajengwa
-Upande wa kilimo si haba kuna mazao mbalimbali ya chakula na biashara na matunda kama mihogo,maembe,nazi,mahindi,chai,machungwa,mpaka mpunga Tanga inaweza kujilisha yenyewe bila kutegemea nje
-Upande wa madini tanga kuna dhahabu ya kutosha huko amani na handeni
-Utalii ndio usiseme kuna sehemu za kuvutia kama lushoto mapango ya amboni mpaka pangani ambapo kuna sehemu ya saadan
Pia Tanga kuna shule na vyuo vya elimu ya juu
Big up mkoa wa Tanga