Vijana wengi wana mitaji midogo ila hawajui biashara gani wafanye kuendena na huo mtaji bila kupoteza huo mtaji, kwa ufupi ntataja aina za biashara ambazo kijana mwenye juhudi ya utafutaji anaweza kuanzisha.
1. Kwa 1m unaweza kununua piki piki (boxer) used ila ina hali nzuri na ukaanza nayo mdogo mdogo kama derivery-man au boda boda utapata 20k kwa siku sio mbaya kwa kuanza maisha na mwenye malengo (ceteriperibasi)
2. Broker au kufanya kama winga tafuta wateja kwanza ndo utafute bidhaa anaotaka jikite kwenye aina moja ya bidhaa piga picha za maduka ya watu utangaze online mteja hataki kujua kama duka ni la kwako yeye anahitaji bidhaa imfikie tu bila uhuni weka cha juu
3. Bedcure hi ni biashara yenye pesa nyingi ila inahitaji mtaji kidogo, kujifunza, kukata kucha na kuosha miguu pamoja na kupaka ina ya wanawake sio shida kubwa ni suala la kua na nidhamu, hao wanawake wanapesa za bure ukijishusaha kwa siku 50k sio haba utaipata tu.
4. Roadside chips and bites, tafuta sehemu ambae haina vibanda vya chips vingi ndo uweke ukifanikiwa kuuza kwa wateja 10 tu kwa siku una 10k, ndani ya masaa tu, utakuza mtaji kidogo kidogo.
5. Air bnb, hii ni biashara ya kisasa sana kodi vyumba vyako viwili matharani kwa 100k kila mwenzi weka farniture nzuri na safi tanganza mdandaoni ili wafeni weje wakodi kwa $100 kwa siku sawa sawa na 250k kila chumba hata akika wiki moja tu pesa itakutosha.(ceteriperibasi)
6. Online boutique, tafuta design au fashion shop piga picha weka mtandaoni maarufu kama jiji letu ongea na clients wako kwa kuongeza cha juu kwa kutumia bidhaa za watu wengine mkifika bei lipia umpelekee utapata clients wengine wengi.
7. Consultancy katika fani mbali mbali kama huna ujuzi wowote tafuta wenye ujuzi uwatumie wewe bila wenyewe kujua utapata pesa mpaka basi, ila epuka utapeli usimdanganye client wako, kama huna mjuzi katika hiyo fani achana nayo.
8. Evening coffee shop, birthday cakes, bread and Milk, market target iwe middle class wanao toka makazini sio kuuza kahawa hizi za wakosa ajira kwenye vijue vya simba na yanga..... tafuta middle class hususani wanawake wa ajiriwa birthday cake order ni lazima zawadi au gifts pesa nyingi zinaenda kwenye vitu kama hivyo we tafuta mbinu ya kuwafikia jitahidi uwe msafi na mtu wakusifia sifia wanawake mpole na mwaminifu mwanamke hupenda watu smart na waminifu utakua chef wao wa coctailparties zao, epukana na ngono za hovyo mtaji utapotea