Elections 2015 Kama hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu na haramu? Hukumu ya karma ijuu yake!

Eti chaguo la Mungu !

Chaguo gani la Mungu linalowekwa kwa kura za wizi na ulaghai ?

Huo wizi umefanyika wap wakat kila jimbo palkuwa na wakala na amesain matokeo ndo yakatumwa NeC? Hahah Fisad papa waTanzaniia tumemkata tena, akagombee uraisi Zanzbar au Fifa anaweza shinda
 
Wewe kijana ni mpumbavu na lofa kabisa. Yaani ni loofaaa. Rais wako ni Dr Magufuli!
Wewe mwana haramu, kama ungejua kwamba huo upumbavu na ulofa umeletwa na CCM

Kama ungejua jinsi matokeo haya ya wizi yanavyozidi kuchochea chuki dhidi ya CCM

Wewe endelea tu kujidanganya, siku itafika mtatafuta pa kujificha lakini wapi!
 
Hivi inaingia akilini mtu awe anahutubia mikutano ya kampeni kwa dakika 4 halafu aseme ameibiwa kura! is it logic kweli, tufikie mahali tuwe wakweli tu
 
kwa kura alizopata magufuri sithubutu kuropoka eti ccm wezi inamana apate kura 10000 alafu aandikiwe 43000 ata kamakuna wizi lakini apa uwez kuiba kiivo nadhan mwenye akili timamu atanielewa vizuri....funzo DON'T THINK WHAT U THINK IS WHAT OTHERS DO....Ndicho tunapokosana hapo mtu kwakua unampenda mtu unaisi wote wanampenda this is nothing at all
 
Mm nimeshaanza KUFUNGA KWA MAOMBI....!!! Kama ni ushindi wa haki, MUNGU hatatoa ADHABU...!!!

Kama ni USHINDI wa DHULUMA, MUNGU ataangamiza watu, hadi wakome...!!! Narudia, Mungu ataangamiza wahusika hadi wakome...!!!

In Jesus name...!!!

Ndugu yangu km kweli unamuabudu Mungu wa kweli hii itarudi kwako unless otherwise. Mungu huona hadi kwenye kona ambao wewe huwezi Ona. Naona umejivika kiburi km Gwajima wanaojifanya miungu watu
 
Pasco nimeanza kujiogopa aisee
nilisema lazima Pasco atazungumzia karma....nikawa naingia JF nitazame thread gani utaanzisha
halafu nakuta kweli umeanzisha thread kuhusu Karma....nimejiogopa mkuu..

Kwa kuongeza mkuu Pasco.....nimejiuliza ni bahati mbaya makamu mteule anaitwa Suluhu?
tazama hilo jina.....vowels zinajirudia kama Nyerere Kawawa Makamba Jakaya...nafikiri umeelewa kitu hapo..
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna utaratibu au sheria ya kuishitaki tume ya uchaguzi endapo ikigundulika walipotosha wananchi juu ya matokeo ya uraisi?
 
Sikumchagua magufuli kabisa na kura yangu imeibiwa m,namtambua lowassa Kama Rais wa jmt Huyo magufuli ni Rais wa NEC na CCM.
 
Kama alianza kwa kujumlisha kura zake alizopata arumeru, monduli, uchagani nk. basi lazima aseme mwanzoni aliongoza kwa zaidi ya 80%. Akumbuke ushindi ni majimbo yote.

hata hivyo asife moyo, yeye ni rais wa hisia za watanzania kwa mujibu wa mbati, anyway.
 
Hii mijizi ndivyo inavyowaibia wananchi waliyoipigia kura,basi tuu acha ufisadi na umaskini uendeleee tuu labda dawa siku moja itapatikana,wabongo wengi wamezoea umaskini mpaka wanaona ni kawaida tuu
 
Hivi Mungu anahusikaje na mambo ya kipuuzi kama kuibiana??
Pasco, jina la Mungu liache kabisa. Waache malofa wahangaike na wastaarabu!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kabisa, sina imani na tume ya uchaguzi. Pili sitaki kusikia hakuna aliyejuu ya sheria. Iweje idadi ya wapiga kura itofautiane kati ya mbunge na raisi kwa jimbo au kituo kimoja?
NEC walilizungumziaje suala la mabox ya kura yaliyokua yanakamatwa karibia au wakati wa uchaguzi?
Kama kituo cha sheria kinaenda kuvamiwa bila search warrant kwa kisingizio cha maagizo ya mamlaka iliyojuu, nani atasalimika?
Niishie hapo kwa sasa kama kweli karma ipo, ifanye kazi yake lakini mimi binafsi natangaza kua adui wa serikali iko siku ntakufa sitaishi milele ila kufa kwa sababu na kishujaa itanifaidia zaidi.
 
Back
Top Bottom