Hudson Kamoga wa Kipindi cha 360 ya Clouds TV ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya

usomdudu

Senior Member
Dec 18, 2011
114
102
Wadau nafikiri mmeona press release ya leo, Bwana Kamoga wa Clouds Media ameteuliwa kuwa DED.

14291737_10154511684454339_147519622398701913_n-jpg.397537

=========

Uteuzi kamili wa MaRAS na MaDEDs uko kwenye uzi huu: Rais Magufuli amteua Eliya Ntandu kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe na Wakurugenzi 11 wa Halmashauri
 
Naona ile simu ya Magufuli kwenda Clauds Tv siku ile ambapo Hudson alikuwa studio imezaa matunda. Kujipendekeza kunalipa aisee!
Hongera Hudson although is too cheap.
Usisahau pia kuwa kuna kutumbuliwa huko mbele ya safari. Vyeo vya sasa ni mtego...
 
Mwenye kumfahamu vizuri amwage CV yake
Hapo hakuna cha CV wala nini, DED ni nafasi inayoweza kufanywa kwa weledi sana utakapo chukuwa maafisa mipango wazoefu, maafisa kilimo au ushirika hata wa utumishi wenye uzoefu wa kutosha field huko katika Halmashauri.
Nakubaliana na mdau aliyesema serikali hii inaenda Ku feli very soon kwa maigizo haya.
Miaka mitano itaisha watu wanajifunza nini cha kufanya
 
Kama kurekodi kipindi wana cut off na kufanya marekebisho kibao sasa kuongoza kada za Halmashauri hakuna Editing sijui itakuaje ila Hii too much kwa kweli mtu hajawahi kukaa na watumishi wa uma wa aina yoyote hajawahi kuwa miongoni mwao na kujifunza mienendo ya utumishi leo anakuja kuongoza watumishi hao! Hapo kuna kuelewana kweli? Hakika kutahitaji busara na utulivu wa hali ya juu wa bwana kamoga kujifunza kabla ya kuonyesha makucha ya kiutawala otherwise namtakia kila La kheri
 
Wadau nafikiri mmeona press release ya leo, Bwana Kamoga wa Clouds Media ameteuliwa kuwa DED
Huyu JPM nahc akimaliza miaka 5 ni kumshukuru Mungu anajenga matabaka sana,yaan ukimsifia tu cheo wenzangu na mimi wasio nahulka ya kujipendekeza itakula kwao,bado Ephraimu kibonde,huu uongozi bila katiba kubadilishwa tutafikia pabaya,yaani iwe ni nchi ya kumsifia tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna kukosoa,haya yetu macho,Tunamuomba ,Mungu atupe uhai na amani tuone mwisho wake,tulimsema sana JK kuwa anateua vidosho mara akina nanihhhhi huyu sasa ni hatari katiba inamlinda wapinzani waliliona hili wakalilia katiba ibadilishwe,kwa mwendo huu sidhani kama katiba itabadilishwa dah kazi kweli kweli hii ndio TANZANIA
 
Back
Top Bottom