Heko kwa Waziri wa Kilimo kwa kuamua kujenga mabwawa kuvuna maji yatokanayo na mafuriko

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,285
7,854
Wananchi tunataka kila kiongozi aliye pewa dhamana na Rais wetu kuwa mbunifu na mwenye kuona mbali, huyo ndiye kiongozi.

Tumefarijika kumsikia Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuwa watajenga mabwawa pembezoni mwa bwawa la Mwl. Nyerere ili kuvuna maji yatokanayo na mafuriko lakini pia kudhibiti mafuriko kwa siku zijazo.

Hivi ndivyo inavyo takiwa, tuvuna maji haya ya mafuriko ili yaweze kutusaidia siku za ukame, tusishangae shangae tu na kulalamika, tuwe wabunifu.
 
Back
Top Bottom