CHADEMA mpeni Tundu Lissu nafasi ya uenyekiti Taifa

Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.

Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Uko sahihi, demokrasia ya kweli ni kupisha wengine. Kwa muda aliokaa Mbowe kwenye nafasi hiyo anastahili kupumzika sasa.
 
Kwani mbona Makamu Mwenyekiti ni madaraka makubwa tu,tunataka kujenga chama CCM acheni mambo yenu ya uchonganishi
 
Misimamo iwe ya kiasi. Kila jambo kwa kiasi. Misimamo ikiwa mikali sana hekma hukosekana au hupungua.
 
Unaweza kuwa na lengo zuri sana, lakini kwa Bahati Mbaya nafasi ya uenyekiti wa Chadema hawapewi watu kama Chipsi kavu, ni nafasi inayogombewa , Yaani wanaotaka hiyo nafasi Wanaonyesha nia yao wenyewe, wanachukua fomu na kuirejesha baada ya kutimiza masharti.

Sasa kusema Lissu apewe Uenyekiti na huku hajaonyesha hata hiyo nia ni sawa na kujipunja wewe Mwenyewe, Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kumshawishi Lissu mwenyewe aonyeshe nia, baada ya hapo mfanyie Kampeni ili awashinde wengine watakaogombea pamoja naye.
 
Tundu Lisu ni Magufuli anayesoma Sheria. Napendekeza awe Mwenyekiti wa CHADEMA ili wafaidi matunda ya Magufuli ndani ya CHADEMA. Hahaha
 
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.

Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Nyerere ameongoza TANU 1954-1977, miaka 23, na baadaye CCM 1977-1990, miaka 13.
JUMLA miaka 36!
Mbowe aendelee mpaka Nchi itakapopata Katiba Mpya.
 
Kabisaaa, na sisi members tununue magari tuwe tunaenda kwenye kampeni na ndinga zetu sio safari za wana wa Israel jangwani🐒🐒🐒
 
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.

Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.

Lissu namkubali. Ila kuna chance kubwa sana atakiingiza chama kwenye mgogoro. Ana kaukorofi na kakiburi fulani.
 
Lissu akikaa hapo ndio mtajuta Mbowe ni kiongozi kamili!

Hahaha
Nyie CHAWA wa Lumumba si huwa mnalia lia kuwa Mbowe amekaa sana kwenye nafasi hiyo, kumbe Lissu mnamuogopa zaidi?!!

Ajabu ni kuwa siku zote wanaolalamika kuchoshwa na Mbowe ni wana ccm tu. Pilipili anazokula mwingine wewe zinakuwasha vipi?
 
Mbowe ni Kiongozi mzuri Ila , Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kuondoka madarakani watu wakiwa bado wanampenda.

Tunakushukuru Sana Mbowe Mwamba. Ila ebu tumpatie na Lissu tuone atafanya nini Asante Sana.
Uzuri wa Demokrasia ya Mmarekani ni kuwa Viongozi wengi wanafuata siasa za Soviet.
 
Unaweza kuwa na lengo zuri sana, lakini kwa Bahati Mbaya nafasi ya uenyekiti wa Chadema hawapewi watu kama Chipsi kavu, ni nafasi inayogombewa , Yaani wanaotaka hiyo nafasi Wanaonyesha nia yao wenyewe, wanachukua fomu na kuirejesha baada ya kutimiza masharti.

Sasa kusema Lissu apewe Uenyekiti na huku hajaonyesha hata hiyo nia ni sawa na kujipunja wewe Mwenyewe, Jambo la kwanza unalopaswa kufanya ni kumshawishi Lissu mwenyewe aonyeshe nia, baada ya hapo mfanyie Kampeni ili awashinde wengine watakaogombea pamoja naye.
Mtego huo ,,na lisu ategeki
 
Back
Top Bottom