Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya uanachama wa Palestina lapitishwa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,276
32,813
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya na kuunga mkono uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa.

Nchi mia moja arobaini na tatu zilipiga kura kuunga mkono azimio hilo, tisa zilipiga kura dhidi yake, na nchi 25 zilijizuia kupiga kura.

View: https://x.com/marionawfal/status/1788957972036456813?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ile kesi ya Africa Kusini ya kuwafunga Wayahudi wote iliishia wapi?
 
Kazi kweli kweli. Naona kamavile Wanachama hao wa UN sasa wanatumia mikakati ya kisiasa.

Yaani wamesubiri wakati huu ambao Neta nyau kabanwa, na babu wa kijiji kabanwa.

I second this resolution and I call all countries to vote Yes on a resolution to Formally recognize tha Palestinian state.

peace.✌️

Now you know🤔
 
Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya na kuunga mkono uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa.

Nchi mia moja arobaini na tatu zilipiga kura kuunga mkono azimio hilo, tisa zilipiga kura dhidi yake, na nchi 25 zilijizuia kupiga kura.

View: https://x.com/marionawfal/status/1788957972036456813?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hapo ni inatakiwa kura moja tu ya vetu Mambo yaendelee kama kawaida
 
Take la farasi
Yaani sheikh wangu RITZ AMEBAKI PEKE YAKE ANAPAPATIKA KILA SIKU NA VISTORY AMBAVYO HUISHIA HEWANI... ANAKAA TENA ANAJIPAPATUA ANAIBUKA NA UZI MWINGINE. WENZAKE WAMESHA M SHIT WAMEONA WAMEONGEA SANA NOTHING HAPPENED.
 
VETO ina nguvu kwenye kikao cha UNSC (United Nations Security Council) ila kwenye kura za UNGA (United Nations General Assembly) haina effect

Kwa hiyo hili suala likienda kuzungumziwa kwenye UNSC hapo ndio Marekani ataweza kutumia VETO kupinga
Na lazima liende kule ili palestine awe na full membership
 
Ikiendelea kushupaza shingo itapuuzwa na haina uwezo wa kupigana na dunia nzima!
Umeshiba maharage ya wapi? Mbona hatukuona Afrika inapeleka jeshi kumtetea Gadaffi? Shida siyo kuitambua Palestina , kila mtu anaitambua palestina lakini vitendo viko wapi? Nani atapeleka jeshi kupigana na Israel na US? Ujue tukio lolote litakalotukia la kutishia uwepo wa taifa la kiyahudi itasababisha Israel ifyatue nyuklia kwa adui yoyote atakayejaribu kupeleka jeshi.
 
Back
Top Bottom