Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
Kwa muda nimekua nikisaka bluetooth typing keyboard nzuri, kiasi kwamba nikiingia kwanye maduka ya vifaa hivyo wakiniona tu wananiambia "Keyboards hazipo". Mara nyingine nimejaribu kununua keyboard flan halaf sikuridhika.
Kila mara nimewapa challenge kuwa hawaleti keyboard nzuri sokoni. Majibu...
Kuna wanaochora Muziki "Nota" kwa kutumia program inayoitwa capella.
Kuna ujanja wa kubadili keyboard kurahisisha uchoraji
Yacapella.exe
NB:
(KUIANZISHA - doubleclick Icon)(KUISITISHA - bonyeza escape "Esc" key)(KUIPOZI -pause "F9").
NI NINI?
Script ndogo (1.mb) ya kubadili mpangilio wa...
Umewahi kusikia kuhusu ergonomic keyboards? Ni computer keyboards ambazo, funguo zake zimepangwa kwenye muundo tofauti kitaalam kulingana na mwelekeo wa mwili wa mwanadamu. Kwamba computer keyboards zile za kawaida funguo zake zinakua zimepangwa tu kwenye safu zilizo nyooka, na kumfanya...
Nimefaulu kuprint kwa simu ya Android, moja kwa moja kwenye printer ya LaserJet P1102. Nadhani kwa printer nyingine itawezekana pia.
Nimetumia OTG cable
Usb AB Cable ya kawiaida ya printer
Nimedownload software toka playsotre inayoitwa Printershare click hapa
Nikadownload HP printservice...
Wakati fulani nilikua natafuta kifaa au mfumo ambao utanirahisishia kuchapisha kitu chochote bila kukimbizana na computer. Hii ilitokea hasa wakati nillipokuwa naandika hadithi fulani kwa ajili ya kipindi cha redio. Mwanzo nilikua natumia keyboard ya bluetooth pamoja na simu yenye bluetooth na...
Watu wengi wamekua wakiuliza swali hili, hasa wale wanaofanya kazi kama waalimu, ambao wanatakiwa kuwa-grade wanafunzi kulingana na matokeo ya mitihani kwa kutumia Microsoft excel.
Nimeona watu wengi wametoa maelekezo kwa kutumia function ya "If" na ndiyo niliyokua naijaribu katika kutatua...
KUHUSU 3D
Picha kwenye screen ya kawaida inaonekana flat, kwa vipimo viwili "2 dimensions", "2d". Picha ya 3d, mbali ya kuonekana kuwa na upana na urefu, inaonekana pia kuwa na kina, na ndio "dimension" au kipimo cha tatu. Mwonekano huo wa kina unaifanya picha ya 3d kuonekana kama inaendelea...
Pengine umewaalika rafiki zako nyumbani. Una party ndogo. Unachezesha miziki kwa laptop yako. Laptop yenyewe umeiweka kwenye meza ya pembeni karibu na chanzo cha umeme, au pengine karibu na Amplifier yako au music system yako. Ni wazi huwezi kuiweka laptop kwenye meza ulipoketi na rafiki zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.