Acha uongo kwa Tanzania hasa ukiondoa visiwani Zanzibar ....asilimia kubwa ya watu ukristu au uislamu jina ...wengi wanaabudu dini zao.za asili...ukristo na uislamu ni.kama utambulisho tu. so hakuna kwenye uchungu na dini Kihivyo hadi ambague mtu. ukiona hivyo ujue imetengenezwa
Unapiga simu katika muda sahihi kuulizia Majibu yako. Yaani kuulizia huduma ambayo umeilipia. Customer anakujibu rahisi tu kuwa Majibu leo yamechelewa na hapo hakuna lugha ya kuomba msamaha yaani samahani yaani utadhani wewe mteja ni omba omba. . Unamuuliza sasa nitapata Majibu saa ngapi maana...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu.
Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
Nianze Kwa haraka haraka kuna daraja la Mfugale. Soko la Ndugai.. Shule ya Jokate huko kisarawe.. Shule ya Juma Homera huko Tunduru ... Hospital ya.... Mtaa wa.... Na wengineo wengi... inakuwaje wanajipa haya majina au huyo anayewapa anawapa kwa kigezo gani. Maana mfano Ole Sabaya angejipa mtaa...
Au wanataka mpaka Rais aseme. Hivi kuna faida gani kuvaa barakoa mjini au maofisini halafu unapanda mwendokasi au daladala zilizojaa abiria bila kuwa na hewa safi.
Mamlaka husika kwanini wasiruhusu vibali vya muda kwa gari binafsi kubeba abiria kama daladala kuepusha Msongamano wa watu kwenye...
Anataka kupigwa mtu hapa. Haya mtatuletea majibu baadae. Ila hapo hakuna cha chumba wala kodi. Mtu ataliwa hela ya kodi. Kabla ya kupanga hakikisheni mna jua mmiliki halali wa hiyo nyumba. Msiie mkaletewa mmiliki fake.
Angalizo. Kwa jinsi wanafunzi wanavyo hangaika na hostel au vyumba vya...
Abiria wamejazana ubungo. Magari binafsi yapo tayari ubungo kupata vibali vya muda kama. Miaka yote ila wao LATRA wanasema hawana vidhibiti mwendo. Kifupi hawa watu hawakujipanga wakati inajulikana miaka yote issue ya December na shida ya usafiri. Lakini wao wako na magari yao binafsi kukamata...
Ngoja nianze Mombasa hataki kuitwa kenya yaani anataka ajitenge kabisa na kenya. Wenyewe wa nakwambia pwani si kenya..... Naendelea. Kenya imefukuzwa Somalia na wasomali wameweka vikosi vya jeshi mpakani. Kenya ina ugomvi na uganda wanagombea visiwa na sasa hivi wanagombea biashara ya maziwa...
Hivi hawa Latra kwanini wanakataa kutoa vibali vya muda kusafirisha abiria kwa ma. Bus yaliyokuwa yanasafirisha wanafunzi ikiwa shule zimefungwa . Kuna tatizo gani. Maana kwanza serikali utapata hela halal kwa watakaoomba hivyo vibali. Pia itaondoa usumbufu wa abiria hasa mida ya asubuhi na...
Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman.
Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa hiyo haitamuathiri au kumuumiza muolewa au muolewaji.
====
Saudi Arabia on Monday issued a de...
Nakumbuka kuna mwaka boss wa CNN mmarekani alisema Kenya siyo nchi salama kutembelea. Issue kubwa ilikuwa ni mambo ya ugaidi kipindi cha Al-Shabaab.Kwakweli huwezi kutegemea Wakenya waliungana wote nchi nzima wakavamia twitter ya yule jamaa na akaunti za mitandao yote ya CCN.
Wakamshambulia...
Ngoja na mimi nitoe maoni yangu. Unajua kuna watu wanaiba mafuta. Mfano kuna malori yanafoji kuwa yanapeleka mafuta nje ya nchi yaani transit. Hayo hayalipiwi kodi na wakifika njiani wanafungua na kuyauza. Sasa issue ya kufunga machine itaweka kila kitu wazi na Itakuwa pia kugundua kama kituo...
Team iko ulaya inataka mchezaji africa. Mfano samatta. Hapo ni lazima dalali ahusike maana issue sio tu kucheza mpira ni lazima pia wajue na tabia ya mchezaji nje ya uwanja na mambo yake binafsi. Sasa hapo ndio kazi ya dalali. Au wewe unatafuta nyumba. Hujui tabia ya kwenye ile nyumba au ya...
Broker, Agent, wakala, Dalali.......wote hawa ni kitu kimoja inabadilika lugha tu na mbwembwe kibao. ni sawa na kusema mshahara, overtime, pensheni, ada.....zote ni malipo. nenda Toyota Japan waambie nataka gari jipya toyota hawatakuuzia watakwambia nenda kwa agent wetu Toyota Tanzania Ltd. Huyo...
Dalali, wakala......wote ni kitu kimoja. tofauti tu wale wanafanya kisheria na wamesajiliwa. Na hawa wetu wanafanya kienyeji........baadala ya kwenda Tigo ofisini kwao kutuma pesa unamtafuta wakala yaani mtu wa kati unatuma hela naye anapata cha juu chake kutoka tigo. Kifupi huyo ni Dalali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.