Search results

  1. Lunyungu

    Akwilina Kayumba wa OSHA, nani yuko nyuma yake?

    Ndugu Rais Magufuli, ndugu Majaliwa Waziri mkuu, ndugu Mhagama waziri mhusika salam sana kwenu. Leo naandika kuwauliza kama mnajua kwamba OSHA kuna mateso na kuna Malkia. CEO wa OSHA nani kampa mamlaka ya kuwakataa watumishi na kuwatukana kama wanafanya kazi kwa wahindi? Jenister unayajua...
  2. Lunyungu

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Kaka yangu ndugu Rais Magufuli pole sana na kazi ngumu uliyo ianza . Mimi leo nimeona nikuulize tu tokea mbali huku maana siwezi kukusogolea karibu sijui ni hofu au kitu gani sijui ila nimeoma nikuulize tu . Wako walio karibu nawe watakufikishia . Ndugu Magufuli hivi unayajua madudu ya Hazina...
  3. Lunyungu

    So far sijaona wala kuwasikia je wewe umeona au kusikia ?

    Wana jamvi Heshima kwenu wote . Siasa zimepamba moto hasa za CCM . Watia nia wote sasa wanaongea lugha ya miaka 5 ya UKAWA. Wengine wako madarakani bado kwenye serikali hii hii lakini wamemweleza JK in the open kwamba hajafanya lolote . Ndiyo wamesema wote kasoro Membe ambaye hakujua kwa nini...
  4. Lunyungu

    CCM wanadharau sana waadhubuni October /2015

    Ndugu yangu wewe umesahau dharau za CCM ghafla ? Wanatumia uwingi wao kuteletea maamuzi yao. Yaani wakisha amua hata sisi tuseme vipi mtaani CCM watafanya .Kumbuka haya na Muhusika 1. Sheria ya mtandao imekuja kwa uoga wao kuelekea uchaguzi mkuu kuwakomoa wasema ukweli . Makamba hatakiwi...
  5. Lunyungu

    Tofauti ya Tanzania na Kenya katika Ziara ya Clinton

    Wana Ukumbi mpo salama naamini . Wakuu nimekuwa naangalia The Citizen Channel Kenya it was airing Live Clinton anaongea na wanafuzi wa Chuo Kikuu huko Kenya muda mfupi uliopita. Mjadala ulikuwa mpana kwa hotuba ya Clinton kidogo na baadaye bahari ya maswali. Clinton katokea Tanzania kwenda...
  6. Lunyungu

    Naombeni msaada sikumwelewa ndugu Rais jana.

    Ndugu wana jamvi salama sana wote . Jana Rais alisema juu ya mahakama ya Kadhi .Alitamka kwamba serikali haitahusika na gharama wala mambo yao . Mie napenda kujua kama ndiyo mwisho wa muswada kuwepo Bungeni au nini kitafuata baada ya tamko la ndugu Rais jana . Naomba mwenye uelewa anisaidie...
  7. Lunyungu

    Waziri Mkuya kasema hakuna dhambi pelekeni pesa zenu nje

    Mkapa, Mwinyi ‘waguswa’ na “SwissLeaks”; Waziri asema "Si kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi" 91 client accounts opened between 1982 and 2006 and linked to 286 bank accounts. (source: www.icij.org) UTARATIBU wa Watanzania kwenda kuhifadhi fedha katika mabenki ya Uswisi ulikithiri...
  8. Lunyungu

    Tanzania to send mission for negotiating USD 77bn/- debt

    The government plans to send a team from the Treasury to Iran for negotiations on repayment of USD 77bn/- that Tanzania owes that country. The minister of Foreign Affairs and International Co-operation, Bernard Membe, said this yesterday when he addressed journalists in Dar es Salaam. In the...
  9. Lunyungu

    Mkataba wa TPDC na PanAfrican Energy Tanzania Ltd

    Haya soma upate kujua kuna nini ndani yake . http://downloads.openoil.net/contracts%2Ftz%2Ftz_Songo-Songo-Gas-field_dd20060711_PSA_Panafrican.pdf From Zitto Kabwe’s FB page…
  10. Lunyungu

    CCM hawako tayari sasa UKAWA tugawieni tusome tuelewe tuamue mapema

    Wadau heshima yenu. Muda sasa umepita Jakaya Kikwete anasema katiba ni nzuri na tuipe kura ya NDIYO. Lakini lakini hadi sasa hayupata kuona wala kusikia kwamba Katiba pendekezwa inauzwa au inagawiwa bure ili tupate tusome na kuamua . Kwa kuwa CCM ina mizengwe mingi kwa maana ya serikali yake...
  11. Lunyungu

    Mimi najua CCM wameanza nimehudhuria, je na wewe unajua na umehudhuria?

    Wadau Mimi Jumamtatu ya wiki hii majira ya saa tisa pale relini karibu na Sitakishari , nimehudhuria mkutano wa kampeni za Serikali za mitaa za CCM . Walikuwa wanaongea na vijana wanaomba kura wana wapa ahadi na mgombea wa mtaa aisema haya nina nukuu . Mimi ndiye nimeanzisha VIKOBA Chalinze na...
  12. Lunyungu

    Mpaka wa Namanga si salama

    Wadau heshima zenu Naweka bandiko hilo nikiamini wakubwa watachukua hatua bada ya kusoma. Hii si tetesi ni kweli kwamba Uhamiaji wanafanya biashara na hata kuwapitisha watu kwa kuwapa tempo pass na kuwaingiza Nchini . Mimi nimeshuhudia pia watu wakiwamo Watanzania na Wakenya wakichukuliwa...
  13. Lunyungu

    CCM na kampeni za kupata kura ya Ndiyo kwenye Rasimu ya Katiba mpya

    Ndugu watanzania Je huko uliko umeona haya ? CCM sasa wanapita usiku nyumba kwa nyumba wnagawa kadi na kuandikisha vijana na kutumia Vikundi vya akina Mama wajasiliamali ili kupata kura ya ndiyo . Yamenikuta wakiwa hawajui kwamba najitambua Mama mtu mzima na vijana wale nikawauliza haya 1.Kwa...
  14. Lunyungu

    Makonda na political boost toka kwa Sitta

    Wana JF Heshima yenu . Mimi nimeona kundi la Sitta , Mwakyembe na matumizi ya vijana wao kuelekea uchaguzi mkuu. Mchumia tumbo Makonda hatimaye kapewa a really kick kwenye baraza la Katiba vya kutosha na ni wazi kabisa Sitta did all he could kumpa kick huyu kijana wa kundi lao kuonekana zaidi...
  15. Lunyungu

    Malipo ya mabomu Mbagala: Waathirika walipwa Fidia Tshs 1,950

    Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu Imeandikwa na HabariLeo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya Waathirika hao, Thomas Mbasha, alisema baada ya ajali hiyo, walilipwa fidia ndogo na waliandika...
  16. Lunyungu

    Waziri mkuu atoa masaa 30, ataka kupata majibu kuhusu kiwanda cha nyama Mbeya

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ametoa saa 30 na kutaka kupatiwa majibu ni kwa nini maelekezo aliyotoa kuhusu kiwanda cha kusindika nyama cha Mbeyahayajafanyiwa kazi. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Agosti Mosi, 2014) wakati akizindua Kongamano la siku tatu la...
  17. Lunyungu

    Je nilikosea katika hili tafadhali nipe maoni yako

    Juzi nimepta hapo uwanja wa ndege Dar naelekea nje ya Nchi .WAkati nangojea kupanda ndege nikaamua kuranda randa kule juu hadi kwenye yale maduka yaliyo jaaa wahindi . Kuingia tu nikakutana na mhibi anasema welcome nikaamua ku test kama anajua kiswahili .Akakwepa kwamba hajui .Nikampita nikiwa...
  18. Lunyungu

    Kama Wagosi wa Kaya hawakuwepo Ikulu, je wasanii gani wengine waliwaunga mkono ?

    Wana JF Heshima wakuu Naomba kupewa shule tafadhali .Nimesikia tetesi kwamba kwenye ule mkusanyiko wa Wasanii wa CCM wakongwe wa mistari Nchini hawakuwepo kwenye kula pilau je una taarifa ni wanao jitambua wapi hawakwenda Dodoma kuendeleza kupokea hongo ya chakula ? WAchuia tumbo kama Mpoto...
  19. Lunyungu

    Watoto 3,000 Wakatoliki wakusanyika; Serikali yawakilishwa

    WAkatoliki tuna waunga mkono kwa kuamua kuwakusanya watoto 3,000 toka majimbo katoliki yote Tanzania kasoro 3 Tunduru, Masasi inawaka moto sasa na amani inatangazwa na watanzania wanaunganishwa kwa njia hii ya kongamano la watoto wa kikatoliki. Serikali imewakilishwa kama kawaida na watoto hawa...
  20. Lunyungu

    Wanawake na usawa au 50- 50 katika kazi na maisha mbona barabarani hatuwaoni ?

    Wana JF Tafadhali naomba msaada kwenye tuta tafadhali .Nimeona wamama wakiwa kweye majukwaa wanapiga kelele za usawa kazini hadi katika mambo mengine.Leo wanataka usawa hadi mjengoni lakini katika baadhi ya kazi wanawake hawajitokezeni. Hebu niambie kwa nini au unawajue wabunge wangapi ambao...
Back
Top Bottom