Kwa kifupi ni kwamba wanapata manufaa makubwa sana kwenye hii nchi kuliko hata hiyo thamani ya mikopo tunayo pewa, umewahi kuona wapi mtu anamkopesha hela mtu ambaye hajalipa madeni, nchi inadaiwa lakini cha ajabu tunaendelea kukopeshwa tu, nikitu kisichowezekana kabisa lakini kwa nchi za...
Ndio namaanisha matarajio ya mtu ni yapi? Huwezi kumshauri afungue duka la simu huku kijijini ikiwa anataka kuwa mfanya biasha wa mataifa, yaani huwezi kumwambia mtu afungue library ikiwa ana mitazamo ya kushindana na MO au Bakhressa
Mimi naweza kutaja fursa hapa lakini natakiwa kujua malengo ya mtu mwenyewe, nitamshauri fursa na project kubwa kubwa kumbe yeye interest yake siyo international entrepreneur au sio kuwa national level kuna wengine hawana mambo mengi wanataka kufanya biashara ili apate tu hela ya kula
Sasa mtu...
Huyo jamaa sidhani kama anayo elimu ya kutosha kwenye biashara, anahitaji mifano mingi sana ili akae sama
Watu wamefanya biashara za aina nyingi lakini si kwamba walizipenda zote, akiwa anataka kufika mahali fulani ni lazima uipende kila hatua unayo ipiga,
Nitoe mfano wa Ally yule mmiliki wa...
Ukiendekeza hisia kwenye biashara basi ujue bado hujakomaa kibiashara,, mfanya biashara anakuwa makini na mahesabu deal na faida sambamba namuda, mfanya biashara huwa anapenda biashara inatakayo mlipa kwa muda fulani, ukiwa kama mfanya biashara unatakiwa uwe na macho ya kuona mbele, mfanya...
Kwa sasa tuangalie kuhusu suala la kukopa fedha, wakija hao walipaji ndio watakuwa na uchungu na matendo ya namna hiyo kwa sasa bila rushwa huwezi fanikiwa kwenye jambo lako we toa tu rushwa 😐
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.