Iko Hivi WB wametoa billion 600 kama Grants kusaidia afya ya mama na mtoto.
Tamisemi ikaajiri watumishi 300 kwa Mkataba was miaka mitatu majina walichukua kwenye database ya waliomba ajira mwezi was nne mwaka 2023 hivyo Kuitwa kazini ilikuwa mwaka huu January.
Tukalipoti kazini na kupanga...
Nimeandika mara ya Tano nimeona kabisa jamiiforum haiko na lengo la kunisaidia.
Maana niliomba wapost kwenye mitandao ya kijamii Juli kupush Hili suala ila suala langu limegonga mwamba mpaka nimepoteza imani na jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.