Search results

  1. Wamamba

    Zambia anafungwa na Morocco , Tanzania tunamfunga Congo, bado tuna nafasi kubwa tu

    Salaam Imani bado tunayo na ni kubwa mno, makosa tumeyaona na tunaenda kuyafanyia kazi na hatuna haja ya kuwalaumu wachezaji kwani ni sehemu tu ya mchezo na kawaida kwenye mashindano yoyote yalee Tunapita hatua ya makundi Tanzania bila shaka yeyote Ilikuwa tusipewe furaha leo na tupewe...
  2. Wamamba

    Ungekuwa na mamlaka na kodi za Tanzania ungeanza na secta gani?

    Salam Pato la Taifa,kodi ya MTANZANIA Nazungumzia fedha inayokusanywa na serikalini kwenye secta zote hapa nchini, namaanisha secta zote, madini,ardh,usafirishaji,mbuga,uchumi wa blue/bahari,hospital nk... zote zote Kama ungekuwa na mamlaka nazo ungeanza na secta gani? Kuiweka sawa au...
  3. Wamamba

    Baada ya basi kupata ajali nikajikuta nimekwama Zimbabwe mwaka 2014

    Habari zenu wakuu, Nisiwachoshe, niwape kisa kifupi kilichonitokea 2014 katika mishe zangu za utafutaji. Nilipanga kwenda nchi fulani kwenye utafutaji na nilikuwa mwenyewe Bahati mbaya njiani tulipata ajali mbaya na alhamdullillah nilisalimika kutoka mzima, wapo waliopoteza uhai na majeruhi...
  4. Wamamba

    Wakati mwingine kukataa ujauzito au mtoto inatokeaga tu na sio kwa kupenda

    Habari zenu wakuu Nianze moja kwa moja nisiwapotezee mda Mwaka juzi mwishoni nilirudi mtaani nilipokuwa naishi baada ya kusafiri na kukaa miaka 5 , nilifurahi kukutana na ndugu na marafiki kwa siku nyingi Katika mizunguuko nikakutana na kasichana kazur nacho nilikuwa nakajuaga zamani...
  5. Wamamba

    Sijajibizana na mtu miaka 10, nikaona nipate wa kujibizana nao

    Sometimes mtu una miss tu ugomvi na kutukanana na majibizano ya hapa na pale na hauna watu wa kugombana nao Huku kwetu kila mtu na habari zake yaani kila mtu yupo ndani ya yard yake hauwezi kwenda kwa nyumba ya yeyote kwenda kupiga story au kuangalia mpira ufupi hauna nafasi ya kujibizana na...
  6. Wamamba

    Jumanne naenda kumuangalia rafiki yangu jela nini vya kuzingatia?

    Heshima kwenu wakuu Nimembebea pesa ya kutosha ya kumpa mwamba, Sipo Tanzania, umri 26-30 (code) sababu ya hali yangu mbaya ya kiuchumi nimejikuta nipo nje ya taifa langu pendwa lenye amani na upendo TANZANIA sijilaumu naamini katika kujifunza na kukomaa katika utafutaji, kuongeza ujuzi mbali...
  7. Wamamba

    Vijana 5 waliopotea Kariakoo walipatikana? Mbona hatukupewa mrejesho wa tukio hili?

    Hamjambo? Mzee wenu nimekuja kwa unyenyekevu Safari hii, Kama hamjambo na mimi sijambo. Wahusika JF naomba mlishikie kidedea hili swala kulifikisha mamlaka husika Naulizia sakata la vijana 5 waliopotea miaka kadhaa iliyopita walipatikana? na Kama walipatikana mbona hatukupewa mrejesho na...
Back
Top Bottom