Search results

  1. A

    Natafuta Mke

    Sasa shida nini ikifika wakat si nitakufa au
  2. A

    Natafuta Mke

    Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri usiwe mkubwa sana, asizidi miaka 32 maana mimi nina miaka 35. Inshalaah, pia mimi ni mtumishi wa...
  3. A

    Natafuta Mke

    Tulia sio kila mtu kachelewa sababu ya kukataa ndoa nilikuwa natengeneza maisha mimi na nitakaemuoa tuqeze kuishi kwa furaha lakini kutengeneza kipato sasa niko vizur naweza kuoa sasa
  4. A

    Natafuta Mke

    Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli SIFA ZANGU Miaka 36 now Sina mtoto Rangi nyeusi Muislamu Nina maisha pia nimeajiliwa Sifa mwanamke ninaemtaka Awe na mapenzi serious Awe...
Back
Top Bottom