Search results

  1. K

    MSAADA? JE PREP NA PEP ZINAWEZA KUFANYA KAZI MOJA

    Heshima yenu wakuu, Nafaham kuwa PREP ni vidonge anavokunywa mtu ili vimlinde kupata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mf, unataka ukakutane na mtu ambae haumuamini, inafanya kazi kama condom. Wakati PEP ni vidonge anavopewa mtu baada ya kukutana kimwili au kufanya ngono zembe na mtu ambae...
  2. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    sawa lazima nilete mrejesho
  3. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    nimekua mwalim mzur, nikifundisha hili somo ntatoa 'A' za kutosha
  4. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    nimejua leo ndo nimeshugulikia ruhusa niende mkuu
  5. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    usije kurogwa ukakubali huo upumbavu
  6. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    hakuna ila akiniruka ntamwachia, itabid nijilaum mwenyewe kwa upumbavu niliofanya
  7. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    ngoja nimchek labda ntafarijika
  8. K

    Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

    kwel8 mkuu, ujue unaweza kufanya maamuz magum ukaharibu kabisa, nimewaza mengi sana
Back
Top Bottom