Habari za muda huu ndugu zangu.
Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas zifuatazo gasi ipi hapo Ina mzunguko mkubwa kwenye utokaji
1. Oryx
2. Taifa/Mihan
3. O gas
Habari za muda huu ndugu zangu me ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 24 naomba kushare hili wazo kwenu ili kupata Maoni tofauti tofauti yanayoweza kunisaidia.
Nina wazo la kufungua store niwe nauza mchele tu kutokea mikoani kwa bei ya rejareja kwa capital ndogo ambayo ninayo ambayo ni 1.5M...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.