Search results

  1. N

    Chadema watoka nje hotuba ya Rais kulifungua Bunge....

    Wabunge wa CHADEMa kwa umoja wao wametoka nje ya bunge mara Rais alipoanza kulihutubia bunge. Walikuwa watulivu toka mwanzo, kuingia kwa Speaker na Rais, Sala ya kulifungua bunge na hata kumsikiliza Spika akisemea umuhimu wa Rais kama sehemu ya bunge, lakini Rais alipokaribishwa, within the very...
  2. N

    Elections 2010 Kikwete Alivyoanguka Jangwani

    Mimi kila nikiangalia hii thread machozi yananitoka. Kwa kweli inatia huruma sana. Rais ana huruma au nini? Mimi nadhani kwa sasa lazima Waziri wa Afya aingilie kati _ Dr Mfisi should be out kwa kuwa kiungwana aliwaahidi watz kuwa watakuwa makini na afya ya Rais baada ya tukio la Mwanza na kwa...
  3. N

    Elections 2010 Balile na Dr Slaa...

    Makala ya Bw Deodatus Balile katika gazeti la Mtanzania toleo no 0856-5678 lenye kichwa cha habari "Dk Slaa avunja ndoa" imenishangaza sana. Imenishangaza kwa sababu kadhaa, kwanza, mtu kama Balile, ambaye ana kadigrii ka uzamili bado hana upeo wa kujua kuna maisha binafsi ya mtu, ambayo...
  4. N

    Oil Link Filling Station: Short Version

    As you requested, this is the short version: I would like to draw your attention on Oil Link Filling Station, at the adjacent of Mwenge Road and Shekilango around Africa Sana opposite the Ambiance Club. I went there last Sunday for petrol. After the guy filled the car infront of me, it...
  5. N

    Kituo cha Oil Link Afrika Sana huwaibia wateja. EWURA Wamulikeni!

    Tukio lilitokea siku ya Jumapili tarehe 11 mwezi Julai, 2010 katika kituo cha mafuta cha Oil link Afrika Sana Mwenge, bado linaniachia maswali mengi. Swali kubwa ni kuwa: EWURA inamlinda vema mlaji wa mafuta nchini? Je, suala zima la kumlinda mlaji katika nchi yetu linapewa kipaumbele cha...
  6. N

    Je Watanzania walio ughaibuni Wanaijua Tanzania ya sasa?

    Nimekuwa hapa Ughaibuni kwa muda sasa na nimepata bahati ya kukutana na watanzania wenzetu walio huku ughaibuni kwa muda mrefu. Nimejifunza jambo moja kutoka kwa hao woote. Watu hawaijui tena nchi yao!!! Inaonekana wengi wamebaki kutegemea habari za blog mbali mbali kujua kinachoendelea...
  7. N

    Hongera Prof Tibaijuka kwa 2009 Göteborg Award

    Wana JF Itatoa furaha kubwa pale ambapo watanzania wenzetu wanang'ara katika anga za kimataifa. Si michezo tu (Hasheem) ila sasa katika anga za kitaaluma ambapo Mama yetu, Mwalimu wetu Prof Ana Tibaijuka naye ameteuliwa miongoni mwa washindi wa Nobel Prize katika mazingira inayotolewa na...
Back
Top Bottom