Search results

  1. E

    Hivi mkoa wenye Matatizo kwa Tanzania ni Arusha pekee?

    Tumeona Makonda anavyoibua madudu mkoani Arusha. Mbona sioni wakuu wengine wa mikoa wakitatua matatizo kwenye mikoa yao? Ina maana huko Songwe, Njombe, Kilimanjaro, TANGA na Pwani (hasa Pwani) kuko shwari?
  2. E

    Kwanini manesi wana roho mbaya?

    Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana. Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa. Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
  3. E

    Mkurugenzi Manispaa ya Ubungo komesha hii tabia

    Kipindi cha Magufuli watumishi wote walihakikiwa na walioonekana hawana vigezo walitimuliwa. Wakati wa kuhakikiwa kila mtumishi alileta vyeti halisi, barua ya kuajiriwa na ya kudhinitishwa. Vyeti vya ndoa, kuzaliwa/affidavit n.k. Pamoja na nakala za vyeti vyote na barua zote kuwa kwenye faili...
  4. E

    Wanaume ndio wengi wanaosindikizwa na wake zao hospitalini kuliko wanawake wanaosindikizwa na waume zao

    Nimetembelea hospitali nyingi hasa za Dar. Mara nyingi nimeona wanaume ndio wengi wanaosindikizwa na wake zao hospitalini kuliko wanawake wanaosindikizwa. Utamdharau sana mkeo ila kumbuka siku si nyingi utaanza kumheshimu especially wakati anakupeleka hospitali. Juzi nilimuona mwamba mmoja...
Back
Top Bottom