Search results

  1. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Kati yangu nawewe nani hajatumia akiri kabisa? Bajeti iliyopangwa Kwa ajiri ya mama na mtoto apatiwe huduma Bure hata kama ni miaka 10 kama walichapisha Kwa muda hu ni lazima muda huo ufike ndo mabadiriko yatokee. Ikitokea badiriko lazima waweke matangazo na kuondoa ya zamani kuwa huduma za...
  2. PharaohMtakatifu

    Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Malizaneni kanisani huko sisi wengine hatuamini maswala ya bikira aliyezaa Watoto zaidi5
  3. PharaohMtakatifu

    Ikitokea umefukuzwa kazi sasa, una mbinu mbadala ya kujiingizia kipato?

    Nakwambia Hivi akiri itakuja tu ufanye nn Ili upate pesa
  4. PharaohMtakatifu

    Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

    Sawa lakini sio Kwa mazingira Yale. Hapo ni sawa na kubeti na huenda angeona kinyaa siku zote Wacha ibakie kuwa Siri yangu tu😆😆
  5. PharaohMtakatifu

    Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

    Pentecoste popote alipo happy birthday kwakwe
  6. PharaohMtakatifu

    Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

    Si ndio mkuu. Nilikuwa Tyr niende vituo binafisi niaktow gharama yoyote licha kuwa na Bima
  7. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Soma Tena Kwa makini utaelewa ni wapi maana nimetaja kwenye andiko hili
  8. PharaohMtakatifu

    Ungekuwa ewe ungekubali?Japo inachekesha lakini soma hivohivo.

    Wakuu salaama! Nikawaida sana sisi wanaume kutongoza Tena bila kujari mwanamke anacheo Gani kaolewa ana mchumba au lah. Mara zote yeye ndo husema kama ana mtu ama ana kazi gani. Mdada mmoja nilipendezwa nae basi licha ya kuwa najua kazi yake kuwa ni Dr haikunifanya nisite kumtongoza...
  9. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Hii Ya kijipangia haifai na haifai kabisa. Vipi kuhusu utofauti wa gharama kati mtoto me na ke?
  10. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Huo muda nautoa wapi na nimejua juzi kwenye issues ya mwanasesere baada ya kuona linatembea sana MITANDAONI
  11. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Unajua kupenda vya Bure lakni mkuu? Kadi imeandikwa haiuzwi halafu inauzwa Nini manake yake? Hapa sijasema watu wamekataa kuuziwa la hasha tunataka serikali ituambie rasmi kuwa Kwa Sasa zinauzwa na ziandikwe kadi hiii inauzwa Kwa Tsh 10,000/= wengine wanauziwa 2000,5000 na 10,000/= kwann?
  12. PharaohMtakatifu

    Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Mkuu hata tungeuziwa 50k tungenunua tu. Swali lipo Hivi kwanini uandike haiuzwi na then iuzwe ikiwa na maandiko hayohayo ya kwamba haiuzwi? Kuna gharama Gani ikiandikwa kadi hii inauzwa Tsh10,000/= nani hata nunua? Niambie kwanini gharama za kujifungua mtoto wa kiume ziwe juu na za mwanamke...
Back
Top Bottom