Search results

  1. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Pumzika tu jobless,tusubir june
  2. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Si umeambiwa mpaka June uko
  3. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inaonesha ndo walivyojipangia ndani ya mwezi kwnye placement ni pdf 6,ndo wanajilazimisha kuzivunja vunja vpdf wapate vya kuweka tuone wanapiga kazi,maana kama pdf lina majina ya page 2 tu sasa si wangeunganisha tu,maana ukiangalia placement za mwezi huu zingefit tu kwa pdf 2 basiiiiii
  4. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sawa nasi Acha tuvumilie
  5. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Halafu jambo lingine yani psrs hawajiamini kuliko sisi majobless adi nashangaa🤣🤣 wana shida gani,wanaulizwa kwanini matokeo ya oral hayawekwi hadharani yule afisa Tehama anajibu et mkiyajua matokeo yenu au ukijijua upo database hutaenda kufanya interview nyingine,sasa apa shida iko wap waachie...
  6. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu sku izi time zao hazielewek ilikua jion kuna sku apa pdf likatoka mchana,jana napo wakatoa usiku🤣
  7. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kaimu katibu mpole sana ikiwezekana apumzike,wamueke wa moto atetee majobless,moja ya interview anasem kiupole uku anatabasam anaulizwa why placement znachelewa anajibu vibali ndo tatizo uku anasmile as if ili sio shida kwake as long as yeye pesa znaingia na maposho ya kufanyisha watu interviews...
  8. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mm napumzik tu,ukiniona spo online ujue bundle limekata tu🤣🤣🤣🤣,vle vibundle vya jero vinakatika chap tu
  9. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kaimu katibu ikimpendeza apumzike kwanza jmn ebu wambadilishe jmn khaaaa,ivi ypo toka enz za Magu?
  10. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Basi nlitoka online kdogo tu narud nkasem ebu nikachungilie kdg nakutana na kimweku kipya🤣,nkasema huu sasa utakua mzigo wa kwenda alooooo kuja kudownload nguvu zte ziliisha
  11. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nilale kwa raha gani ss🤣🤣,jobless tunapumzika tu hatulali...jobless ulale usingizi mnono unautoa wap ss
  12. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Jobless mpka sasa ivi bado umelala,kwa raha gani sasa🤣🤣🤣🤣,amka uingie ata web ya Psrs
  13. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu tunawasafishia web kwanza🤣🤣,ivi ile pdf ya jana waliitoa sa ngap?
  14. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kumekucha mkuu,ingekua wanaangalia umeingia mara ngap kwny web yao ningekua nishalamba zangu asali labda ya nyuk wakubwa🤣🤣🤣
  15. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daaaaaaah hali ni mbaya kiukwel
  16. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Marketing & Public relations
  17. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?
  18. Pinacoladee

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Daah pole mkuu,Mungu ni mwema usichoke
Back
Top Bottom