Search results

  1. NEGAN

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Man City hachukui ubingwa
  2. NEGAN

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chilwell left wing😂
  3. NEGAN

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Msimamo mwisho wa msmu? Ancelloti hajafanya kitu maana cha maana Everton wala Napoli.
  4. NEGAN

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Nifatilie nini cha ziada wakati ni msimu juzi tu. Hajafanya cha maana chochote akiwa Everton hajafanya hata robo ya alichokifanya Emery Villa. Alipopata ofa ya Madrid hakujiuliza mara 2 akatimua mbio. Ancelloti kila sehemu aliyofundisha (timu kubwa) kweli kabebd makombe lakini mwisho wa siku...
  5. NEGAN

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Everton tu ilimshinda akatimua mbio.
  6. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mbona makasiriko yameanza kuwa mengi humu?😀
  7. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yeah ni aina ya wachezaji kama Richarlison,Vini Diego Costa unawachukia ukiwa team pinzani. Niwe mkweli Jamaa linanikera vile linavojivuta taratibu kuelekea kwa kipa wakati wa kona na sura yake serious😂
  8. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Lijamaa linakera sana. Sema kwa kuwa lipo kwa timu yao basi wanaona sawa. Sheria msimu ujao inabidi zibadilishwe huyo Jamaa anachezea sana rafu makipa kwenye kona nadhani ndiyo maana Arsenal wanafunga magoli mengi ya kona.
  9. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Giwiji la Highbury lipo kamili gado mjini twitter linashusha madini. Sema kutoa jina la account labda atoe mwenyewe 😀 Ila kumtafuta ni rahisi sna kama kweli una nia. Mimi haikuchukua hata dakika 5 kuipata account yake masingeli twitter 😀
  10. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Namuona Twitter JF kajipiga Ban
  11. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😀😀😀😀
  12. NEGAN

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mashabiki wa Arsenal wamevamia oage ya WOOD wanaporomosha matusi kwamba amepokea bahasha 😀https://www.instagram.com/reel/C5Ru6wNqNDl/?igsh=MTBwdTZ5OXZrbGFkeg==
  13. NEGAN

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Glory hunter wa Madrid tulia 😀
  14. NEGAN

    Tuchel aizungumzia Real Madrid kuelekea Nusu fainali ya UEFA

    Hamna kitu. Mpira wa kuviziana na kupaki basi🚮
  15. NEGAN

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na Nyie mmeamua kumleta kipara?
  16. NEGAN

    Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nadhani wanafanana tu lakini si yeye
  17. NEGAN

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Kwa maana hiyo mtoa mada ameandika si sahihi siyo? Hivi ndiyo navyofahamu
  18. NEGAN

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Bado hujasomeka mkuu. Sijaelewa tofauti ya "The great Britain" na "United Kingdom". Siyo kwamba "The great Britain" na "United Kingdom" zote zinawakilisha muungano wa nchi tajwa ila tofauti yake ni majina tu?
  19. NEGAN

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hili ni jukwaa la Chelsea boss. Post habari za Chelsea tu.
  20. NEGAN

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii mechi inahusiana vipi na jukwaa la Chelsea?
Back
Top Bottom