Search results

  1. jikuTech

    Adsense ya ruhusu matangazo blog za kiswahili

    Adsense imeruhusu Matangazo hata Blog za Kiswahili nimejaribisha jana ikakubali nikaona sio vibaya kushiriki na wadau wengine
  2. jikuTech

    Namna 2 za Kunufaika na Tehama Kiuchumi, Vigezo 3

    Ukijifunza mkakati huu Itakuwa sio lazima u post kila siku biashara yako, ni mara moja tu , na ndio muda sahihi wa kulipia tangazo lako yaan sponsored ad ambayo inaweza kukupa matokeo https://mailchi.mp/c19b07d53f1b/fursa-mtandaoni-kiuchumi
  3. jikuTech

    App au website ya kudownload hd movies

    Tovuti ya netnaija hata kwenye simu inaingia na ina download faster movie nyingi ni mb 200
  4. jikuTech

    Natafuta Mtaalam wa kuandika script au Automation Desktop

    Mimi naweza tena kukutengenezea vizuri kabisa Android App ambayo itakupa uwezo wa kuweka taarifa kwenye mtandao Na web ambayo ukitaka ikusaidie kuweka taarifa mtandaoni Ila sasa kwa muda ambao utakuwa unataka excel unai download na kuifungua kwenye computer yako anywhere in the world...
  5. jikuTech

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Mimi ni developer napenda kufanya modification ya function za watu na kutengeneza nnavyo taka mimi
  6. jikuTech

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Ni kweli codding inahitaji muda sana Japo ukiwa na kiongo zi ni rahisi sana kwa sababu unajifunza kila kitu kwa uhakika
  7. jikuTech

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Ingia YouTube Channel ya Jiku Tech Tips kuna playlist imeandika Android Programming itakusaidia Na vilevile karibu katika mafunzo ya android programming Ada ni Tsh 5000 unapata kitabu cha namna ya kufanya installation na kutengeneza project 2 za mwanzo 0682329852
  8. jikuTech

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    App hauandai tu kama kalatasi Lazima uwe na software zinaitwa SDK Wakati una unda app unatakiwa kuwa online haijalishi app yako itakuwa ya offline au dynamic Kwa kuwa kinacho tengeneza ni software na software inategemea resources kutoka sehemu mbalimbali kulingana na code zako Kama software...
  9. jikuTech

    Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Unatumia simu ya aina gani. ? Kuna baadhi ya simu hadi ufanye configuration manually hasa Samsung
  10. jikuTech

    Ufahamu wa Computer Kwa Ujumla

    Uko sahihi kiongozi
  11. jikuTech

    Ufahamu wa Computer Kwa Ujumla

    Kujifunza ni kuzuri ila bila mkakati unaweza usinufaike kabisa
  12. jikuTech

    Ufahamu wa Computer Kwa Ujumla

    Uko sahihi mkubwa mimi najitahidi kutengeneza community ambayo itaelewa na kuwekeza kwenye utajiri uliopo kwenye ulimwengu waTEHAMA
  13. jikuTech

    Jinsi ya kufanya Software development kwa Urahisi

    Mada Software Development Mwelekeo wa tasnia ya kutumia kutekeleza program yako 1. Ama. Web development 2. Mobile App development 3. Ama Desktop App development 4. Ama Analytics Systems N.k - Nadharia zenye msaada kwenye software development A. Data structure B. Algorithms C. Object Oriented...
  14. jikuTech

    Mtaala wa Mobile App Development na java Programming Language

    Asante kiongozi ni Content za kitabu changu ingekuwa ngumu sana kuwa pangilia maana ni nyingi mno Ila kwenye kitabu chake yana mtiririko mzuri
  15. jikuTech

    Jifunze Android Development kwa gharama ndogo. Tsh 85,000/=. Hiyo sio chuo ni street

    Sio chuo wala taasisi ya mafunzo Ni street programming and development technique Walikuja watu kadhaa wanataka kuwa kama mimi siku za nyuma Kwa kua nikuchukua muda ikabidi iwepo gharama kidogo ya mafunzo Ndio maana hakuna ada ya maombi ni kulipia kile ambacho utakuwa umejifunza Kuna...
  16. jikuTech

    Hii ndio namna inayoweza kukupatia pesa kwenye mitandao

    Shida mtu unakuwa unachanganya mambo Sikupi guarantee ya kupata pesa baada ya kusoma kwamaana sina uhakika kama utatekeleza mapendekezo. Yaliyomo ndani Soma vizuri content yangu upate nadharia ya namna ya kutengeneza pesa mtandaoni Kisha Tekeleza moja ya namna nilizo zipendekeza kwenye...
  17. jikuTech

    Jifunze Android Development kwa gharama ndogo. Tsh 85,000/=. Hiyo sio chuo ni street

    Mafunzo ni online vigezo uee na computer, ujue kusoma na kuandika
Back
Top Bottom