Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza nini maana ya elimu wa kidato cha tano na sita (yaani "Advanced Level"), nilikuwa sipati majibu zaidi ya kwamba ni daraja la kujiunga na chuo kikuu (kama ufaulu ni mzuri), na kurudi kwenda kusomea Stashahada, sawa na wale walimaliza kidato cha nne (kama ufaulu...
Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
Achana kabisa na moto wa Cr7 kabisaa, kwanza ndo anaongoza kwa wafuasi wengi Instagram hii ni kiashiria tu cha umaarufu wake zaidi lakin njoo mtaani muulize mtoto yyte kam anajua beyonce achana na watoto wa kishua fata hawa wengine uone kama watamjua.
Ronaldo ni nomaa.
Elimu hii ya ufundi stadi ikianza kutumika mashuleni, itapunguza gharama nyingi ambazo serikali inakumbana nazo mfano gharama za utengenezaji madawati ni kubwa sana mpaka hupelekea wanafunzi wengi kukaa chini kwa kukosa madawati ya kutosha hivyo kwa kupitia elimu hii ya ufundi stadi serikali...
Kwel kabisa, ni wazo zuri sana tukipata huduma nyingi kwa njia rasmi, tutaweza kuongeza mapato yakutosha na hivyo tozo za kugusa uchumi wa mmoja mmoja hazitahitajika.
😂😂@ Neema Dodoo nimecheka kwa sauti kubwa, anyways pole yenu pia serikali inabidi iliangalie hilo kwa kina kwani tuna rasilimali za kutosha ila bado hatujajua namna bora ya kuzitumia, tukiweza kufatisha wazo la Tukuza hospitality uchumi wa nchi yetu utakua ni mzuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.