Search results

  1. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hawa ndio wakiwa cheo wanaweza jimilikisha madaraka, yaan wapate huku na huku. [emoji23][emoji23]
  2. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Hayo mambo yapo Open University [emoji23][emoji23][emoji23] paper 20 percent limejaaa philosophy za ualimu.
  3. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Yaani hii case yake ni System tu ndio ime command hivyo. na utumishi wamesema hawwz badili. maana mzigo mpk umekuwa Published inamaana walisha signed.
  4. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Ni mwanangu nilikuwa na chat nae, wamemgomeea kubadilisha hiyo remark. Jamaa alikuwa Dodoma anamuuguza Mother wake, kaja kupiga paper kafaulu lakni nashangaaa figisu ya not selected. cjuii iyo nafasi anapewa nan?? Ila sio fair.
  5. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sasa Utumishi waachie Mkeka wetu wa kuitwa kazini. tujijuue kama tupo au hatupo. maana tumetimiza siku 60 kimya. Maana skuiz naona paper zina tungwa kw kukomoanaa [emoji23][emoji23]
  6. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Nimelaza mshale hapo.. Mambo ya Teaching yameniangusha. Nguo zangu za kuingilia Oral ngoja nizirushe kwny Kabati. Asanteni kwa ushirikiano wakuu.
  7. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Kwa Kada yangu maswali yalikuwa ya Multiple Choice. haya ku base katika cozi yangu kabisa Yalikuwa yame base kweny ICT, RESEARCH na TEACHING ODL. bas Maswali yalikuwa 40. DK ni 40 pia. Japo kuna wenzangu wa kada nyingine walitolewa mswal ya kuji explain akituliia nita muuliza n maswal gan...
  8. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na kwenye upande wa kuita watu kazini.. unahisi nini kinacheleweshaaa.??
  9. lerman3x

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utumishi wameitwa watu wa PPRA kwenda kwenye Usahili Dodoma.. naona mida ya Mikeka kutema imewadiiia. Hapa kama ulipata nafasi ya Sensa na umekuwa Shortlisted linakuwa pigo nalo hilo[emoji2][emoji2]
  10. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    hahahha nikivuka Written nitaanza nalo jili
  11. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    mkuu nime assume tu ninazo obvious 44 kiujumla
  12. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Hapana Mkuu kuna baadhi ya Kozi huwa zinahiyaji wataalam kutoka Field husika. Mfano Chuo cha Muhas lazima ukute Lecturer wa Development Studies (DS) , LECTURE wa IT. japo hizo coz hawatoi hapo. Kiufupi OUT wana coz z Education so lazima wasake wataalam kwny Field husika
  13. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Hapana Mkuu kuna Coz hawatoi hapo OUT. kmaa Bachelor of Science in Physics, Bsc Chemistry, Bsc Nutrition na Bsc Botany
  14. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    una shauri vipi sasa Mr
  15. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    nikitoboa Written nitalizingatia hili
  16. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Mkuu hili paper ume Experience kutoka Chuo gani?? [emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]
  17. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Mkuu wewe jaribu tu maana hamna namnaa, kama ipo ipo tu. kikubwa tupambane By the way Utumishi wapo pia Dar es salaam hapa. So Probably wawakilishi lazima wawepo. maana nilishawahi fanya Usahili UDSM, Wawakilishi wa UTUMISHI walikuwepo tena wa3 kweny venue siku ya Written INTERVIEW na cku ya...
  18. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Yapo kweny Website ya UTUMISHI mkuu yametoka leo.
  19. lerman3x

    Maswali ya Written Interview Tutorial Assitant?

    Mkuu kwa Kada yangu Siwezi tobooa maana nina Course kama 36 kwa semister zote 6. na kingine nipo kitaa mda mrefu. labda kama mtu anajuua mfumo yao ya utoaji hapo sawa.
Back
Top Bottom