Search results

  1. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Karibuni kusoma chapisho langu naombeni kura zenu
  2. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Asante sana kwa maoni umeeleza vizuri. Ni kweli kuna wanawake wanakuwaga ni chanzo cha watoto wao kukosaa malezi bora kwa kushindwa kutulia au kuwatumia watoto wao kama kitega uchumi (sababu ya kujipatia hela na mali kutoka kwa wanaume waliozaa nao). Na malengo yao yakienda tofauti wanawalisha...
  3. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Karibuni kusoma chapisho langu naombeni kura zenu
  4. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Wapendwa karibuni kusoma makala yangu naombeni kura zenu
  5. M

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Nzuri lakini inahitajika muhusika pekee na watoa huduma ndi wanaona taarifa za MTU mfano taarifa za hospital wakitaka kuangalia taarifa ya mteja kwa kutumia kitambulisho cha nida wanapoweka kitambulisho wanaona namba zao ambazo zitawapeleka kwenye taarifa za kitabibu za mteja na ivoivo waajiri
  6. M

    SoC03 Mfumo wa pamoja wa taarifa zote za wananchi

    Wazo zuri lakini kwa sasa wanatumia vyeti mfano vyeti kama vya kuzaliwa elimu na n.k pia nida. Kuna kitu kinaitwa nafasi nyingine, nafasi ya kurekebisha pale ulipoteleza, na kujenga pale palipobomoka. Kuna watu wanapast ambayo wanahitaji kusahau sana kuweka rekodi kila hatua inaweza kuwaathiri...
  7. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Wapendwa karibuni kusoma makala yangu naombeni kura yenu.
  8. M

    SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Makala nzuri malezi bora kwa taifa bora la baadae
  9. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Yaani ni huzuni sana. Nilishawahi kuongea na mtu akaniambia Mimi na jina la ukoo kama lako lakini baba yangu alinitelekeza mama yangu akiwa mjamzito kwa iyo ata ndugu wa upande wa baba siwajui. Inaumiza mtu anakua angali historia ya mzazi wake ni alimtelekeza. Alafu wamefunzwa kumuachia Mungu...
  10. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Ni kweli tunatakiwa tumshirikishe Mungu tunapofanya maamuzi ya kuoa au kuolewa ili tuweze kukutana na watu sahihi. Lakini Mimi nimeelezea malezi ya watoto na jinsi matapeli wa kimapenzi walivyo chanzo cha watoto wanaokosa malezi bora ikiwa ni pamoja na ongezeko la watoto wa mitaani. Asante.
  11. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Utapeli wa kimapenzi kwa sasa umeshamiri katika jamii yetu. Vijana wengine wanachukulia kama imekua fasheni. Katika jamii ya sasa imekuwa ngumu kujua yupi mwenye mapenzi ya kweli au uongo. Yupi mwenye nia ya kweli au uongo Mapenzi ni kitu cha muhimu katika jamii yoyote. Upendo ndiyo huunganisha...
  12. M

    SoC01 Walemavu pia wanaweza wapewe nafasi

    Katika jumla ya watu wote dunia nzima inasemekana kuwa asilimia 10 ni walemavu. Ulemavu unaweza kutokana na MTU kuzaliwa nao ajali , magonjwa yanaopeleka kiungo cha mwili kukatwa au kushindwa kufanya kazi. Kila kiungo cha binadamu kinaumuhimu wake sana katika maisha yetu ya kila siku mfano miguu...
Back
Top Bottom