Search results

  1. K

    Kungu

    Nilikuwa zanzibar pale bububu nikaletewa kungu. Nikauliza za nini? "zalegeza macho ya akina dada ati". Nikauliza, "sasa nikila mie," "utalegeza ya kwako ati"
  2. K

    Migomo kuamuliwa na mahakama!!!!

    Serikali yetu juzi ilikimbilia mahakamani kupata uamuzi kwamba mgomo wa madaktari ulikuwa batili. Mimi naomba tafsiri sahihi ya mgomo kwa sababu mgomo niuonavyo mimi ni mapambano kati ya mdai na mtoaji wa haki. Ninapoamua kugoma ni kama kuingia vitani na sitegemei mtu yeyote au mamlaka yeyote...
  3. K

    Watanzania hawagomi!!!

    Ukiacha Wanavyuo, watanzania ni waoga wa kugoma. Nikumbusheni ni lini watanzania wamegoma na kushinikiza serikali yao ikubaliane nao. Fikiria ni serikali gani inapandisha bei ya umeme kwa asilimia 40, kama si kujua kwamba hakuna chochote kitakachotokea.:canada:
  4. K

    Serikali inapowakatili raia wake kodi za kuingiza magari: Nini kifanyike?

    Kuna hawa waheshimiwa wanaotaka kuipeleka Serikali mahakamani kudai kwamba kodi ya magari machakavu ni ya kibaguzi kwa vile iinabagua watu masikini dhidi ya matajiri. Ukinunua gari lililotumika miaka kumi au zaidi unalipia kodi kama asilimia 20. Ukinunua jipya hulilpi kodi hii. Mimi nawaunga...
Back
Top Bottom