Search results

  1. Wildlifer

    Tetesi: Simba kuibomoa Yanga, Azam

    Ni ishara kuwa team ya simba inaongozwa na watu wasio na dira wala Mipango hivyo wanafanya mambo kama mahoka tu na kuhadaa mashabiki.
  2. Wildlifer

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hivi Ilani ya uchaguzi ya CCM huwa ni Brainchild ya M/Kiti wake au taskforce maalum?
  3. Wildlifer

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Si Pacome alipopelekwa msimbazi mlimkataa kuwa hamsajili wachezaji wasio na majina?
  4. Wildlifer

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Dr sulle huyu huyu tapeli wa kuoa wanawake kila kitongoji na Kuacha?
  5. Wildlifer

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Una akili timamu kweli wewe? Kila mtu anaweza ishambulia Israel? Hujui kuwa ukiishambulia Israel, umeishambulia Marekani na Ulaya yote? Unadhani Israel ni Haiti?
  6. Wildlifer

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
  7. Wildlifer

    Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

    Msishangae siku moja kuona jamaa ni straika wa Namungo au timu za kaliba hiyo.
  8. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Kama ambavyo wanasema viongozi wote/tawala zote zinatoka kwa Mungu.
  9. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Wapo baadhi ya wanaume kwa upuuzi wao au ufahari wa kiume ama fikra hasi, huzimisha au hukwamisha mipango ya kiuchumi ya wake zao ambayo ingetimia ingekua faida kwa familia nzima.
  10. Wildlifer

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    pia inawaathiri kuwa na PCI ndogo kwa USA.
  11. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Nilichosema, tatizo ambalo unalikwepa kulikubali, pia wanaume wapo wanaozuia plan za wake zao[ambazo ni za manufaa kwa familia] kukua. Mimi nina mtu, yeye ni civil servant, tatizo lake ni mtu asiyejihangaisha kabisa, anaishi on his salary tu. Mkewe ni visionary sana, anahofia hatma ya familia...
  12. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwanamke wa kiha[majority] ni mvumilivu kinoma, ukiona amefika sehemu ya kudiss mme wake, basi yawezekana ni mzinguaji sana.
  13. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Hapana mzee sizungumzii malaya wadangaji. And lets not generalize. Unaweza anza mahusiano na mwanamke ukakuta ana shughuli fulani na ana ndoto nayo ya kwenda nayo mbali. Sasa mwanaume ana muoa anakua abusive na anazuia plan zake kukua ambazo kimsingi ni za manufaa kwa familia yote. Dunia...
  14. Wildlifer

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    basi tu wengi wana akili za kichawa za kuogopa pale tajiri anapokosolewa. Ila kuhusu Mo watu wa mpira tulishamshtukia kitambo kua ni janja janja. Anafanya mambo ya hadaa hadaa kudanganya wanasimba. Simba inapaswa tu kuweka mfumo mzuri wa wakezaji, haiwezi kosa mwekezaji. Dunia hii wawekezaji ni...
  15. Wildlifer

    Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

    Hilo soka letu linakua au linadidimia?
  16. Wildlifer

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Jaribu jambo, gaki, urafiki kiwanda cha mafuta kizumbi. Ongea na walinzi pale, walilie watakusaidia kazi hata vibarua viwandani.
  17. Wildlifer

    Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Umeshajaribu kwenda hapo kiwanda cha jambo?
  18. Wildlifer

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Wakati mwingine sisi wanaume ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake zetu.
Back
Top Bottom