Search results

  1. Mayor Quimby

    Serikali ina cheka na nyani: Wizi wa kimtandao Arusha inaelekea ni nchi nzima!

    Shida ni weak system ya traceability ya malipo kwenye bookeeping. Mara kadhaa CAG amekuwa akieleza mifumo ya serikali za mitaa ina fraud risk kwakutosomana. Lakini wahusika awachukui hatua. Si ajabu huko serikalini mpaka leo hawana accounting software, numbered documents za form za malipo and...
  2. Mayor Quimby

    Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Akili za wafuasi wa CDM zinawatosha wenyewe. ACT wazalendo chama kipya kina magari ya chama ya kuwapa viongozi wake kuzunguka. Halafu chama chenye miaka karibu 30 hakina gari ya kumpa makamu mwenyekiti wake. CDM kwa miaka wamekuwa wakipewa misaada ya ki fedha na donors, wakipokea ruzuku...
  3. Mayor Quimby

    Wanawake wanaweza hatimaye tumevunja mwiko wa tangu uhuru NMB jamíi bond yaanza kuuzwa London stock Exchange , UK

    Cha kusikitisha ni umaskini wa Tanzania kushindwa kununua hizo bonds za miaka mitatu kwa fixed rate ya 9.5%. Otherwise MNB kwa unyonyaji wanaowafanyia watanzania wana faida kubwa sana na debt to equity ratio ni ndogo sana. MNB kama taasisi kwa capital reserves walizonazo hata wakikaguliwa na...
  4. Mayor Quimby

    Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    A fuss about nothing, sasa hapo cha kushangaza ni nini zaidi ya mayowe tu ya mama wa kiafrica kusikitishwa kwa mmomonyoko wa maadili. Umbea tu mleta mada
  5. Mayor Quimby

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Tukio lilikuwa ambush ya haraka na naibu speaker sidhani kama ana body guard zaidi ya mmoja. Issue ya msingi ni Lissu kuelezwa muda umeenda na anae mtuhumu ni marehemu kwa sasa time to let it go. Ndio sidhani kama ni jambo rahisi kwake ila trauma zake zinakitoa chama chake kwenye reli on...
  6. Mayor Quimby

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Tenda wema nenda zako, huyo Akukweti ana gari yake. Bila ya speaker ‘Hypovolemic Shock’ aikuwa mbali na Lissu. Mengine ni kukosa Shukran tu.
  7. Mayor Quimby

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Kama mpaka leo bado yupo kwenye kujiaminisha kila aliekutana nae kwenye matibabu alikuwa na maagizo ya kumuangamiza jamaa anashida kubwa. Chuki za hali ya juu kwa hakina Mdee and Co kisa walipokea offer ya ubunge (yaani watu wafe njaa kisa Lissu). Anawazia plate number za serikali KUB sijui...
  8. Mayor Quimby

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Wewe ndie ulimpeleka Lissu hospitali baada ya tukio? Au alifikaje huko. Hivi wewe unadhani risasi alizocharazwa damu aliyokuwa anapoteza ya kitoto, huko hospitali kwenyewe pamoja na kuwaishwa mara baada ya Tukio kapokea chupa kede-kede na kasafiri na machupa ya damu. Kwenye kichwa chako...
  9. Mayor Quimby

    Kumbe Nesi aliyeokoa Uhai wa Lissu Dodoma Hospital alifukuzwa kazi, Akutana na Tundu Lissu kuomba Msaada wa Kisheria

    Bila ya kuondoa jitihada za medics huko hospitalini. Mtu pekee aliempa Lissu nafasi ya kuweza kupambania maisha yake ni ‘Dr Tulia Ackson’ mara baada ya tukio; alitoa gari la na kuagiza dereva wake amkimbize hospitali. Bila ya maamuzi ya haraka ya Dr Ackson chances kubwa Lissu tusingekuwa nae...
  10. Mayor Quimby

    Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Wanachekewa sana wazanzibari matatizo wanatengeneza wenyewe halafu wanalalamika. Wao ndio walitaka waachiwe mamlaka ya kuamua mambo ya forodha bila ya kujali movements za raia wa bara na visiwani. Wameenda weka kodi zao chini ili kivutia mizigo ishuke kwao wakidhani itaweza ingia bara...
  11. Mayor Quimby

    Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    Mtu kapita tu tena na gari kakuta train imesimama conclusion tayari imeharibika. Train ipo kwenye majaribio mtu hujui kama ipo kwenye signal stop testing, break testing ya kubeba mabehewa makubwa or whatever. Inahitaji ‘leading statement’ tu kwenye kichwa cha habari, asilimia kubwa ya...
  12. Mayor Quimby

    Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    tsh 2100 aiwezi kuwa faida labda uwe machinga. Kama ni duka kuna mshahara Bill ya umeme Tozo za halmashauri Kodi ya pango kama unakodisha. Halafu hesabu zako hazina VAT ndio maana baadae mnaanza kulalamika TRA inawaonea. Ujatoa VAT ya kununulia na kuweka yako baada ya kupanga ndio maana uwa...
  13. Mayor Quimby

    Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

    Contract proposal is another term for an ‘offer’, bidder ndio anaipa offer serikali kwenye tender. Hiyo ni commercial contract kuna mahesabu kwenye offer (through operation plan) namna watakavyo rudisha hela yao na hiyo itatotakana na mabasi watakayoleta na operation costs zao. Sasa kusema...
  14. Mayor Quimby

    Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

    Unawezaje kuingia mkataba wa kibiashara bila wataalamu wa kufanyia investment appraisal hiyo contract proposal. Halafu mnawaambia watu watulie kila kitu kiko poa.
  15. Mayor Quimby

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Unakuja kujiandikia vitu kutoka kichwani kwako halafu unataka kuwapa watu kazi ya kufanya research ambayo ungeweza fanya mwenyewe unadhani kila mtu anajiandikia mambo kama wewe. https://www.bbc.co.uk/news/articles/cprg0yn8q81o.amp Source ya mada ni article hapo juu kwa kiingereza...
  16. Mayor Quimby

    Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

    Nipeleke ushauri halafu mshahara abebe yeye umeona wapi sifanyi kazi ya kanisa (joking, nipo kijijini kwa sasa). Awe makini tu na haya mambo anayo promote kama mkurugenzi wa PPP anayo kila sababu ya kuhabarisha umma kinachoendelea. Lakini hizi guarantee anazowapa hao wawekezaji awe makini nazo.
  17. Mayor Quimby

    Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

    Yeye ni sehemu ya negotiation team ya serikali kwenye hiyo mikataba. Haya ndio mambo ya DP World ndio walikuwa na sifa ya kupewa bandari na wana business plan nzuri. Iła huko kwenye contract negotiations wameenda mpa bandari kwa miaka 30 kwa uwekezaji wa $500m hela ambayo anaweza rudisha...
  18. Mayor Quimby

    Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

    Bora angebaki kwenye porojo zake za kumpamba ‘bi tozo’ siasa ndio kitu anaweza. Huku kwenye kutetea miradi ya PPP bila kufahamu details za mikataba yenyewe ipo siku hizo porojo zake zitamtokea puani. Anatetea miradi ambayo yeye mwenyewe ukimuuliza mfano TANESCO wanauwezo wa kununua huo umeme...
  19. Mayor Quimby

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Sio kazi ambayo kila mtu anaeweza ifanya ni makampuni machache yana uwezo wa kufanya hiyo shughuli duniani. Pili ugumu wa kazi unategemea kina cha bahari. Halafu kuna kusubiri meli iliyo free ije kufanya hiyo kazi ya haraka (muda mwingi hizo meli zipo booked) na kama kina kirefu kazi ya kukata...
  20. Mayor Quimby

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Habari hiyo hiyo kwa English version kuna podcast ndani yake. Kwenye mahojiano mtaalamu ambae anamiliki kampuni ya kutandaza hizo cable baharini amesema sababu ambazo cable zinaweza snap trawl fishing, nanga za meli na underwater mad slide. On average kwa siku duniani cable moja au mbili...
Back
Top Bottom