Mi naomba kuuliza tu kuwa, sio sehemu zote ndani ya Tanzania wanaabudu hao wazungu au waarabu, kuna sehemu nyingine hizo asili bado zipo na zimejaa tele, lakini mbona ukiangalia maisha na maendeleo yao bado ni duni sana...?
Au mlikuwa mnazungumzia kuabudu katika kuleta au kusaidiwa katika...
Ni kama watu wanavyosubiria sikukuu nyingine itakapotimia muda na tarehe husika watu wanasherehekea ni kama vile huo mwezi unapofika mwezi maalum watu wanasherehekea sikukuu husika mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.