Search results

  1. Abubakari Mussa

    Twitter(X) kuna majibu ya ovyoo😅

    😅😅😅
  2. Abubakari Mussa

    Twitter(X) kuna majibu ya ovyoo😅

    Watu wanazingua sana 😅😅
  3. Abubakari Mussa

    Twitter(X) kuna majibu ya ovyoo😅

    X unaweza kupost mambo yako nzuri ukaambuliaa kua comedy 😅😅😅 Vipi mdau wewe umeona jibu gani la utani likajuvunja mbavu? Tupia kwa replies
  4. Abubakari Mussa

    Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Inafanya kazi kama stabilizer Ila stabilizer una weka vifaa vingi kwa mkupuoo Ila hii kama ni TV ni TV au Friji tu
  5. Abubakari Mussa

    JBL party box mwamba wa muziki mnene

    Mdau , leo nakutupia hii apa Wewe unapenda mziki mkubwa? Chukua hili dudeee Hutojutiaaa Swipe kulia kuona video 👉🏽 JBL boom box 2 - 1,200,000/= JBL party box 310 - 1,650,000/= JBL party box 710 - 2,200,000/= Tupigie au whasapp - 0692690033 Tupo kariakoo mtaa wa aggrey...
  6. Abubakari Mussa

    Phone4Sale Simu za Docomo

    Sawa mkuuu Ni simu kama tunavyoosema samsung Ni kampuni ya simu Maarufu kama simu za mjapan Roho ya paka simu ni ngumu Nzuri sana kwa shughuli za apa na pale Zinakuja na space tofauti tofauti kama 32,64 4G network Apo juu kwenye hii post kuna mwamba ame specify vizuri unaweza kupitia ukasoma
  7. Abubakari Mussa

    Phone4Sale Simu za Docomo

    Sijakuelewa swali lako Unaweza libadilisha kidogo tusaidiane?
  8. Abubakari Mussa

    Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    Wewe ndio hujui kusoma Unatuma statistics ambazo wewe mwenyewe hujazielewa
  9. Abubakari Mussa

    Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    Nimeishi kote piaa Nipo mkoaa Dsm sio sehemu yakuishi kwa mimi binafsi kama ni kijana unajitafuta , hilo nakubali Ila uniambie dsm watu wanaikimbia ? Kuliko wanaoingia? No bro
  10. Abubakari Mussa

    Kwanini Vijana wengi wanafanikiwa wakija Dar es Salaam kuliko mikoani?

    Unapost vitu vinavyookinzana na hoja yako mwenyewe
Back
Top Bottom