Heshima Mbele
Ni muda sijaanzisha Mada hapa ila kuna jambao ambalo limekuwa likinitatiza kwa muda sasa ila naamini nyie mnaweza kuwa mnajua?
Hivi kwanini Lowassa anautaka Urais? akichaguliwa atalisaidiaje Taifa? Je, Pesa hizi anazotumia kuweka watu wake kwenye Chama tawala atazirudishaje...
Wakuu
Its has been so long toka nianzishe thread hapa ila nafurahi kuona JF ikizidi kukua na kupata wanachama wengi...Hongereni sana
Kilichonikuna leo ni auli ya Hon. Pinda kuwa na yeye ni mwekezaji na kutoa kauli kuwa wawekezaji siyo lazima watoke nje. Zaidi ya yote kaongea kauli hii bila...
Ndugu wana Jamii wenzangu,
Ni muda mrefu toka nimeandika maada katika jukwaa hili la siasa na hii imetokana na kutigwa na shughuli za hapa na pale ila kila mara nimekuwa nikipita humu na kusoma michango ya wanajamii wanaochipukia. Nimekuwa nikiguswa sana na watu ambao wamekuwa wakiendelea...
Watanzania wenzangu,
Siku zote nimekuwa nikiwahurumia sana kwa ajili ya matatizo yanayowakabili,ila hili la ujio wa timu ya Brazil nimelifurahia sababu ni moja ya michezo ambayo mnaipenda
Kwa kuwa tumesikia na kuona na nimeukuu hapa chini basi nawasihi sana mgome kwenda kuwatazama Brazil na...
uongozi wa juu wa CWT
Sophia Simba-Mwenyekiti
Asha Bakari- Makamu Mwenyekiti
Husna-Katibu ambaye mama Simba Hamtaki
wajumbe wa kamati kuu ya Jumuia ya wanawake wa CCM
Shamsa Mwangunga
Hawa Ghasia
Zainabu Mwamwindi
Furahia Abdallah
Fatuma Tawafiq
Lucy Mayenga
Lediana Mngongo
Subira Mohamed...
sihitaji kuongea mambo mengi ila habari ndiyo hiyo!
Naona kama wameshatuelemea na hatuji tufanyaje,Sanduku la Kura limeshatengenezwa na siyo mbali sana ni kama mwaka bado!
Mkishindwa kupanga safu nzuri sasa,nawaapia mtakuja kujuta na wajukuu zenu watalaam kizazi hiki kwa maombi.Watatuona...
Heshima Mbele,
Kuna mambo matatu nataka kujua
1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa
2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani?
3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please)
Am...
I have this Feeling,
Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.
Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo...
Heshima Mbele,
Baada ya muda mrefu wa kupaza sauti,takribani miaka mitatu ya kueneza mapinduzi ya kidemkrosia kupitia mijadala ya moto moto,imani yetu ya kujenga uwezo wa watu kuzungumzia mambo mabaya na kukemea mambo yote ya kifisadi.
JF imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwafanya watu kama Dr...
Heshima Mbele,
Jana nilipata ujumbe wa simu toka kwa Mpwa wangu ambaye yuko chuo kikuu cha dar es salaa,Safari hii alikuwa akiniambia jambo la kusikitisha. Aliniandikia kuwa ile tovuti al maarufu ze utamu kuwa wamemtoa mhe rais kwa picha mbaya isiyo na heshima katika jamii, Na kwa haraka sana...
Mheshimiwa Waziri mkuu,
Awali ya yote naomba kukupongeza kwa hatua yako ya kuzungumzia suala la DECI,na kuonehsa jinsi suala hilolilivyo la kihalifu,Umefanya vyema sana kwa kuwa kwa baadaye litakuwa tatizo la serikali pindi wannachi watakapoanza kudai pesa zao.Pia ningependa kukopongeza kwa...
Heshima Mbele,
Jana nilikuwa naongea na mpwa wangu kuhusuiana na mipango yake ya shule hasa ya chuo kikuu anakosoma,katika maelezo yake alilaumu jinsi ya ufundishaji katika vyuo,mpwa wangu aliniambai kuwa hawapi elimu kwa vitendo na ndiyo inachangia wao kutokuwa na uwezo wa kujieleza na...
Heshima Mbele,
Kwa mlio Nyumbani na ambao mmeweza kusoma gazeti la leo la Mwananchi naomba mtupe habari zaidi sababu mie nimepewa kwa kifupi tu na Mhariri wa Gazeti moja la Nyumbani.Habari hiyo inahusiana na mahojiano kati ya gazeti la Mwananchi na zakayo wangwe kuhusiana na kutelekezwa kwa...
Heshima Mbele,
Mchana huu nimetafakari sana maneno ambayo nimeulizwa na Ndugu Msimbe.Sanctus kaniuliza mpaka sasa nimelifanyia nini Taifa,Inawezekana likawa swali langu ila ni swali ambalo tunapaswa kujiuliza kila mmoja wetu(hata yeye kama yeye amelifanyia nini taifa?).
Ili swali si geni...
Heshima Mbele,
Kam,a Mtakumbuka kipindi Flani Mkulu FMES(wazee wasauti za umeme) alieleza khali ya mgonjwa pendo magaruda.Kwa taarifa ambzo nimezipata toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa familia hiyo ni kwmaba amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo kwa saa za Tanzania.
Nitawapa Update Msiba uko...
Heshima Mbele,
Mhe. Dr. Slaa anahitajika kukamatwa na Vyombo vya sheria hasa baada ya kuwa na Nyaraka ambazo ni siri za Serikali alizozipata kutoka wizara ya Mambo ya Ndani.Tunatambua ni kosa kisheria kwa Mtanzania yeyote kuwa na nyaraka za siri za serikali.
Nchi hii inaongozwa kisheria,na...
Heshima Mbele,
Kwa taarifa nilizonazo ambazo nimepewa toka kwa mkulu mmoja wa shirika la Bima ni Kwamba Serikali imeagiza shirika hilo lifungwe wakati serikali ikiamua ni nini kifanyike kulinusuru shirika hilo.
Habariz a ndani kabisa zinasema kuna baadhi ya watu wanataka kulichukua shirika...
Heshima Mbele,
Ni post yangu ya 2000 hapa Jamvini,furaha yangu kuu siyo kutimiza post 2000 ila ni mie kutumia muda wangu kuandika na kuchochea maendeleo ya nchi yangu Tanzania.
Nimekuwa hapa toka sept 2007 ila nimeanza kusoma hapa jamvini toka linaanza na sikuweza kuchangia mwanzoni kwa kuwa...
Mheshimiwa Rais ,
Naomba nikupe pole na jinsi khali ya uchumi inavyoendelea hapa nchini,Naona jitihada zako mpya za kuweza kufufua uchumi wa nchi hii zikianza kwa nguvu mpya na kasi mpya tena.Mikutano yako na viongozi wa BOT,Wizara ya Fedha itasaidia sana japo kuwapa watanzania maisha bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.