Search results

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naunga mkono hoja 🤣🤣🤣
  2. M

    Mzee Kikwete aliwahi kusifia uchaguzi wa Nigeria lakini akaondoka mtupu

    We jamaa ni zero kabisa kwa approximation zako🤣🤣🤣
  3. M

    Credit Sales Collector Vacancy

    Basic salary range from 350k to 500k, plus commission which is solely depends on your efforts
  4. M

    Credit Sales Collector Vacancy

    350k-500k + Commission base on performance towards the targets
  5. M

    Credit Sales Collector Vacancy

    Hii sio mkopo fasta hii ni kukusanya pesa toka kwa wateja ambao ni wafanyabiashara wenye maduka walionunua bidhaa kwa credit, sio ishu za kausha damu hizi 😀, ingawa pia kijana anatakiwa awe imara
  6. M

    Credit Sales Collector Vacancy

    Nafasi za kazi wakuu karibuni
  7. M

    Credit Sales Collector Vacancy

    Credit collector vacancy: Tasks: Report to : Team leader (Immediate Supervisor) -To collect not less than 750k per day from business debtors within given territory and to issue accurate receipts to the given collection and submit the collected payments to the company cashier or deposit the...
  8. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkando wa hatari sijui wengine 😞
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu Leo kumeendaje, marejesho pliz
  10. M

    Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Hii imeendaa 👏👏👏
  11. M

    TIC vipi tena waahirisha Interview hadi watakapo toa taarifa nyingine

    Huu usaili wao waliitwa kimya kimya hata hakukua na pdf la kuwaita kwenye website ya utumishi lolote linaweza kutokea mkuu
  12. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kwema sijaona mkeka wa kuwaita watu interview ya TIC ila nimejibiwa hivi kwenye portal na mkeka haujatolewa wiki ya tatu Sasa inaenda hii maana yake Nini?
  13. M

    Natafuta nafasi ya kazi au internship

    Pole mkuu ila usikate tamaa soon tu utalamba asali
  14. M

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kuna vitu ukisikia vinasikitisha sana yani unageuzwa zuzu na kiwanja ni chako😂 unaenda kukikabidhi mahakamani da haya maisha Bila Mungu hatutoboi, Yesu atulinde sana aisee maana gizani ni hatari.
  15. M

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Amina Mtumishi nimekuelewa vyema na haya uliyosema ni sahihi kabisa kiukweli nimekua na kiu juu ya watumishi wa Mungu wawe wanajua level zao za huduma hata wakipata watu na matatizo yao wajue namna ya kusolve kwa usahihi au wasione haya au vibaya kukubali tatizo ni kubwa kuliko level yao watoe...
  16. M

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Kweli haya mambo yapo deep sana tuombee Mungu atufumbue macho tuone tunayopaswa kuyaona vyema na yasiyotuhusu tuepushwe nayo yasije yakatupotezea muda Mtumishi, Barikiwa sana Mtumishi utuoombee kibali na Sisi tupokee Upako huu wa macho angavu ya rohoni angalau kwa kiwango cha kututosha...
  17. M

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Asante Mwalimu Nimebarikiwa sana kwa andiko hili, Mungu azidi kukuweka Mtumishi.
  18. M

    Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Kwa hiyo inawezekana ikawa jukumu lako la kiroho ilikua uwe Daktari maisha yakakufundisha uwe askari kwa hiyo unakua umebeba nafsi mpya kinyume na roho yako sio yaani kuacha lile jukumu au lengo la msingi, NB:hili naona ni tatizo linalotusumbua wengi maishani kuwa na multiple self within one...
Back
Top Bottom