Habari wana Jukwaa nina maswali kadhaa ambayo nimekutana nayo kwa watu wa karibu nikaona niwashirikishe kupata mawazo yenu.
1. Hivi ukiitwa kuchukua barua ya kupangiwa kituo cha kazi na usipoenda kuchukua, zikitokea kazi nyingine unaweza kuomba au unazuiwa kuomba tena kazi Utumishi?
2. Ukiitwa...
Habari wana jF
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Elimu: Diploma IT, Driving Certificate
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam
Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi
1. Graphics Designing and large Formating Printing Skills
2...
Habari wana jF,
Majina: Rashid
Jinsia: Kiume
Mahali ninapoishi: Dar Es Salaam
Natafuta kazi yoyote ya halali nje ya Field yangu ya IT, ili niweze kujikwamua na uchumi.
Nina Uzoefu Sehemu hizi
1. Graphics Designing
2.Data Clerk
3.Photographing
4.Marketing (Digital Marketing)
With...
Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri
Inashoot movie
Memory 8GB
Mkanda
Charger
Lens 18 - 55
Bei 650000/= maelewano pia yapo
Nipo Mombasa Ukonga
Bado ipo clean kama mpya haijatumika muda mrefu iko kwenye condition nzuri
Inashoot movie
Memory 8GB
Mkanda
Charger
Lens 18 - 55
Bei 650000/= maelewano pia yapo
Nipo Mombasa Ukonga
Habari wakuu,
Ninashida na kujua wap wanatoa nafasi za data clerk part time kwa hapa Dar.
Nauliza hapa kwa sababu humu kuna watu mbali mbali wanaofanya kazi mbali mbali
Elimu Diploma in Information Technology
Uwezo binafsi:
Graphics Designer,
Photographer,
Mawasiliano 0627225627
Kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.