Za ndani kabisa, Zile INTERVIEW za TRA na LGs&MDs ni mwezi huu wa kumi ila haijulikani ni lini lakini pia inasemekana watatoa majina kikanda yaani interview itafanyika kikanda watatumia Address kupanga kanda utakayoenda kufanya interview.... Utaratibu huo umekamilika na mpaka mwajiri wameshapiga...
ORAL INTERVIEW QUESTIONS
Kada:SYSTEM ADMINISTRATOR
Taasisi: BRELA
1.Talk about yourself and education background in whole?
2. what is domain controler
3.function/uses of domain controler
4.what is cloud computing
5.advantages of cloud computing
Hayo ndio nnayokumbuka....
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....
Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Ushauri mwingine ambao unaweza kufata na ukaomba ikakubali nenda sehemu ya chart nasi waandikie Technical support team wanakurekebishia usipige simu maana kuwapata tu ni mtihani
Kikubwa mkuu kwenye Writen soma sana Compailer jamaa nimakatili sana, yaani kwa mfano kwwnye tangazo wakisema ujue labda php mandatory, basi jua unakutana na php,javascript,html,css na Ajax...
Maswali yao wanakupa piece of code unachagua output yake na pia wanakupa syntax error ulekebishe kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.