Search results

  1. O

    Wasabato, hii kitu ina maana gani?

    Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu... Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini... Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la...
  2. O

    Catholic News Agency: Bishops in Tanzania denounce government for suppressing freedoms

    Wakuu Salaam... Catholic News Agency ni Shirika la Habari Kubwa zinahusu Kanisa Katoliki......Habari unazozipata huku ni genuine bila chenga.... Waraka ule uliotolewa na Kanisa ni wazi sasa dunia nzima Tanzania inajulikana ni nchi isiyofuata utawala bora....Hili shirika si la mchezo..habari...
  3. O

    Natafuta shamba Arusha maeneo ya Mlangarini/Manyire

    Habari midaa hii wadau wa JF Kwa wale wakazi wa Arusha, natafuta Shamba la kununua kama Heka 3 maeneo ya Mlangarine au Manyire.....Mwenye kujua naomba anipe msaada... Wasalaaam
  4. O

    Hii ndiyo St. Marys Mazinde juu iliyotoa Tz One Form Six

    Haya mandhari ya Shule... Mazingira Bora Kabisa... Kwa uzuri huu lazima Mwanao Afaulu Michezo inakuza Afya zao za akili Hongereni wadogo zetu....Hongera Walimu...Hongera Mkuu wa Shule....Hongera kanisa Katoliki kwa kuwa na Shule Bora kabisa hapa Tz
  5. O

    Tb Joshua mbona hatujasikia utabiri wako kutuonesha wanafunzi zaidi ya 200 walitekwa Nigeria

    Kichwa cha habari chajieleza sawia. Wana bodi, kama tunavyofahamu huyu Nabii wa huko Nigeria amejizolea umaarufu miongoni mwa nchi za Afrika sana sana hapa Tanzania kwa tabiri zake ambzo nyingi mimi huwa siziamnini... Kitu kilichonifanya mimi niandike huu uzi ni kuwa huyu Bwana amekuwa...
  6. O

    Usafi jiji la kimataifa la Arusha

    Wana Bodi, Napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza kwa dhati kabisa Halamashauri ya Jiji la Arusha kwa kuuboresha mji huu... WACHUUZI NA WAMACHINGA Hakika kwa mtu yeyote mgeni akifika leo Arusha atastaajabu kwa usafi wa Jiji hili la Kimataifa na kitalii Barani Afrika.. Sikuwahi kuamini kwamba...
  7. O

    Maajabu! Arusha kuna nabii ana makadinali

    Wakuu,,, Nikiwa nimejipumzisha home huku nikitafuta steshen murua ya Radio ili kusikiliza kusindikiza usiku wangu vyema mara nikakumbana na Radio hii inayoitwa NYU Radio ama (Ngurumo ya Upako Fm ) Kwakuwa nilikuwa sijawahi isikia hii redio kutokana sikuwa nipo Arusha kwa muda mrefu ilibidi...
  8. O

    Nimerudi rasmi nyumbani Chit Chat...

    Habari za leo waungwana ..... Kichwa cha habari kinajinasibu chenyewe....Sasa nimeamua kurudi rasmi nyumbani....Baada ya kukaa kule Siasani nimeona ni mateso makali na stress zisizo isha.... Kwa moyo mkunjifu nimeama kurudi uwanja wangu wa nyumbani.... Nipokeeni mwanampotevu.... Cc...
  9. O

    Njia za kuepuka Ban wana CC..

    Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu....Hii ni mara ya pili sasa mtu mzima namalizia kifungo cha takriban wiki moja.... Hii na hatari sana maana naona ninakoelekea nitaenda kupata kifungo cha maisha...kwani nilipomaliza kifungo cha kwanza hazikupita wiki hata mbili nikaswekwa ndani...
  10. O

    Back From BAN...CC Nimewa-miss Sana

    Kwakweli nimewamiss sana wana Cc wote...Hali ilikuwa ngumu sana kifungoni lakini Inshallah leo nimekuwa huru....(Siasani kule hakufai) Copy to All Chit Chat Members...
  11. O

    Hii baridi hapa Arusha hapana!!!

    Waungwana hii winter ya leo na haka kamvua kanakonyesha ni hatari. Hapa nilipo nimevaa boshori, bonge ya sweta , jinsi , chini nina soksi za sufu yote nikatika kujihami na hii baridi.
  12. O

    nikumbusheni jamani

    wadau kuna post ilikuwa imeelezea kwa undani histora ya wachaga ntaipata wapi?
  13. O

    Serious! Malaria Sugu, FaizaFoxy,Rejao na Rtz1 wako kwenye kundi hili.

    Hebu fuatana nami hapa kwenye aina ya hawa watu. 1. YUKO AMBAYE HAJUI NA HAJUI KAMA HAJUI= (MWELEKEZE) 2. YUKO AMBAYE HAJUI NA ANAJUA KUWA HAJUI= (MFAHAMISHE) 3. YUKO AMBAYE HAJUI NA HATAKI KUJUA=(MWACHE) 4. YUKO AMBAYE ANAJUA NA HAJUI KAMA ANAJUA=(MWOGA) 5. YUKO AMBAYE ANAJUA NA ANAJUA...
  14. O

    Ingekuwa ni wewe ungefanyaje?

    A man called his mom fro USA. Man: Mom i have IADS. Mother: Don't come back home my son. Man: why mom? Mother: if you come back home, then your wife will be infected, from your wife to your brother from your brother to our maid, from our maid to your dad, from your dad to my...
  15. O

    President George Bush to visit Ethiopia, Tanzania and Zambia

    wakuu!! leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa. mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana...
  16. O

    Kwa nini Arusha?

    Habari zenu wadau wa jf? nimekuwa nikijiuliza siku zote why arusha? arusha ndo mji unaojulikana kama tha CAPITAL SAFARI CITY OF EAST AFRICA, THE GENIVA OF AFRICA, na pia ndo mji wa KITALII TANZANIA. pia ndo mji wenye agencies nyingi za kimataifa moja wapo ni ICTR, mahakama inayoshughulikia haki...
Back
Top Bottom