Hapana . Hatuna madereva wa pikipiki (bodaboda) kwenye system zetu kwa sasa. Tuna madereva wakutosha upande wa uber na taxify . Wasiliana na sisi kupitia email yetu jobsfacilitators@gmail.com . Asante.
Habari. Ni kulingana na makubaliano ya dereva na mwenye gari. Gari yoyote inaweza kuwa ya mkataba na gari yoyote inaweza kuwa ya hesabu . Wasiliana na sisi kuputia Email yetu jobsfacilitators@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.