Search results

  1. CHASHA FARMING

    Financial Education, hata Mabenki hawataki mteja aipate

    Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana. Na ukweli ni kwamba upigwaji kwenye mikopo ni kwa sababu watu hatuna elimu ya kifedha hilo ndio tatizo, hakuna tatizo jingine...
  2. CHASHA FARMING

    Kiwi, Pixie Orange na Dragon fruits Seedilings

    Kipindi hiki cha Mvua unaweza pata baadhi ya miche ya Kiwi, Pixie Orange na Dragon kwa matumizi ya nyumbani yaani Backyard. Kiwi ni vein, na kiwi inahitaji uoteshe jike na Dume, kuna kiwi jiie na kuna kiwi Dume, na kazi ya Dume ni kuchavusha Jike. Hivyo bila kiwi Dume jike hakiwezi toa matunda...
  3. CHASHA FARMING

    VICOBA ni idea nzuri, Ila kwa Tanzania haitekelezeki

    VICOBA ina histora ndefu sana, ikiwa ni wazo lilio anzia hasa India, miaka ya 80 mwishoni kwenye jamii ya watu masikini kule India ambao walikuwa wakati wa uchaguzi wanaomba omba pesa sana kwa wanasiasa ndio watu wakakaa chini na kubuni saving group. Miaka ya 90 mwishoni ikaingia Afrika hasa...
  4. CHASHA FARMING

    Dragon fruits mdogomdogo inaanza ingia sokoni

    Dragon fruit ni tunda ghari sana ingawa siku zote naamini kitu kikiuzwa ghari sana una exclude kundi kubwa sana kuto kununua. Majority ya watu ni wa viapato vya chini. Sasa ukiuza tunda sh 10,000/ au 15,000/ au 5000/ kwa mtu wa kawaida hawezi nununua ni bora akanunue tikitiki maji sh 2000/ hio...
  5. CHASHA FARMING

    Ulaya Wakulima wana nguvu zilizo pitiliza uwezo

    Ukiangalia maandamano ya Wakulima Ulaya yana fikirisha sana na kujikuta nawaza kama tuna lima huku Africa au tuna tania tu. Ulaya wakulima wana nguvu mno, kaisi kwamba sisi tunaonekana tuna cheza tu, na Wakulima sio tu wana nguvu pia wanaogopewa sana na sio Ulaya tu hata Asia nchi kama India...
  6. CHASHA FARMING

    Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

    Nimeona Bango la mama wa wetu mpendwa kule AFCON akisapoti mpira, hii inaonyesha Mama anapenda mpira sana, MAma tumuunge mkono kwenye swala la mpira. Binafisi nafarijika sana, kwenye kuchangia timu ya Taifa Mama alitoa million 500, sidhani kama kuna Raisi mwingine kafanya hivyo.
  7. CHASHA FARMING

    Blue berries, ni moja ya matunda ghali sana

    Blue berry huwa ni ghari sana, na ni pendwa sana, na ni moja ya very expensive fruits kwa Tanzania, na nadhani ni kwa sababu inalimwa na wakulima wachache sana. Mfano kwa Kenya nadhani ni Kakuzi pekee analima na kama kuna mwingine basi ni mmoja au wawili, Tanzania kuna Mzungu alikuwa analima...
  8. CHASHA FARMING

    Wambugu Apple, kutoka kwa Peter Wambugu

    Peter Wambugu amejizolea umaarufu mkubwa sana Kenya kwa kuweza kudevelop Breed yake ya Apple ambayo ameipa jina Wambugu Apple. Hii apple inaonekana kuvuta watu wengi sana hasa West Africa, Centra America na Southern Africa pia na hii nazani ni kwa sababu ya hii varieties kuwa na uwezo wa kuzaa...
  9. CHASHA FARMING

    Yericko Nyerere ana point kuhusu Kamati ya Hamasa ya AFCON, asikilizwe

    Sina tatizo hata kidogo na walioteuliwa kwenye kitu kinachoitwa Kamati ya Hamasa ya Timu ya Taifa. Naunga mkono kabisa uwepo wa kitu kinachoitwa kamati ya hamasa. Lakini siungi mkono aina ya watu walioteuliwa kuwakilisha taifa katika jambo hili muhimu kwa taifa letu. Ukiondoa waandishi wa...
  10. CHASHA FARMING

    Tukifuata mfumo wa Colona Agricultue in Tanzania utatusaida sana

    Wakoloni ambao ndio wazungu leo hii, waligawanya maeneo kulingana na hali ya hewa na walijikita kulima kitu ambacho eneo hilo kinafaa hawakutaka kuchanganya changanya mazao. Mfano Maeneo ya Highland yote waliwekeza kulima either Kahawa na Chai, huku maeneo kama kanda ya ziwa kule ikawa inalimwa...
  11. CHASHA FARMING

    Ukiambiwa uchague kimoja kati ya hizi project za Kilimo utachagua ipi? na why?

    1. Project ya Ng'ombe wa maziwa 2. Project ya Ng'ombe wa Nyama 3.Project ya Mbuzi wa nyama 4. Project ya Mbuzi wa Maziwa. 5.Project ya Kondoo wa nyama 5. Project ya Kuku wa Mayai 6.Project ya Kuku wa nyama/Kienyeji/Chotara 7.Project ya Ufugaji wa nyuki 8.Project ya kilimo cha uyoga 9.Project ya...
  12. CHASHA FARMING

    Wenzetu wanaoenda Israeli kujifunza Kilimo wananatekelezea wapi kwa vitendo tukajifunze?

    Miaka na miaka kuna watu wanandaga Israeli kujifunza kilimo. Israeli kama unavyojua imepiga hatua kubwa sana kwenye Kilimo kiasi kwamba levo zao ni Nchi za Ulaya na Marekani. Sasa jamaa zetu huwa wakirudi wanaingia Field moja kwa moja au tena hurudi kutafuta kazi? Kuna mmoja namjua aliendaga...
  13. CHASHA FARMING

    Asparagus, hizi ni mboga za matajiri pekee

    Asparagus ni aina ya Mboga vijiti ambazo sana huliwa na watu wa daraja la juu pekee. Asparagus zinapendwa sana kwa sababu pia ni tiba ukiachana na kwamba ni mboga. Kuna vatieties nyingi sana za asparagus ila zinazo letwaga Tanzania au zinaso limwa Tanzania sana ni hizi hapa; Mary Washington...
  14. CHASHA FARMING

    Kama una shamba limekaa tu, panda Miti ya Mulberries, ina zero cost za utunzaji

    Mulberries matunda yake hakuna hata mmoja humu anaye weza pinga kwamba sio matunda matamu, Mulberries binafisi nikikutana nayo popote pale lazima niyachume nile. Haya matunda ambayo nahisi asili yake yaliletwa na wakoloni ni matunda comercialy nchi zingine hasa Asia huko. Haya matunda sidhani...
  15. CHASHA FARMING

    Mimema Mingi ya matunda na isiyo ya matunda ni Faida kubwa sana ni vile basi.

    Nimekuwa nafuatilia sana Mimea mingi ya asili na Matunda pia nikagundua matunda ya asili tunayo yadharau sisi na kukumbatia ya kigeni nifurusa kwa wenzetu huko nje,na ndio hizo walipropagate na kuzalisha na kuanza ku import matunda kuja Africa tena. Miti ya asili ya matunda tunaweza propagate...
  16. CHASHA FARMING

    Opontia/Prickly pears/Indiani Pears, mmea ambao one day tutajilaumu sana

    Kwenye Bible kuna maneno yana sema "Watu wangu wanaangami kwa kukosa maarifa" Binafisi huwa nakubaliana na hayo maneno kwa asilimia zote. Opontia ni mmea kutoka katika familia ya cactus kama ilivyo dragons na mimea mingine mingi. Opontia au prickly pears utakutana nayo sana maeneo makame na...
  17. CHASHA FARMING

    Button Mushroom,hii aina ya uyoga wazalishaji wengi wanaiogopa sana

    Button Mushroom, ni aina ya uyoga ambao ni ghar saba sokoni ukilinganisha na varieties zingine kama Oysters.Shida ni kwamba wazalishaji wanaiogopa hii aina kwa sababu nazani ya process zake za kuizalisha. Button inapendwa sana sokoni kuliko Oster shida inakuja kwenye price yake ni ghari sana...
  18. CHASHA FARMING

    Nimeotesha Kiwano Melon na Mwakani nitafanya Market testing

    Nimesia Kiwano meloni ingawa nilipata tunda moja ambalo ndio nimekamua mbegu, ila sio mbaya sana, na natarajia hadi mwakani mwezi wa 3 nifanye Market testing ya haya matunda kwenye baadhi ya Super Market kubwa Arusha kwa kuanzia na ikienda sawa tutaanza mass production. Kiwano mellon kwa Masoko...
  19. CHASHA FARMING

    Ufugaji wa Punda kwa ajili ya Maziwa

    Watu wengi hasa hapa Bongo tunajua kazi ya punda ni kubeba mizigo au hata kwenda Kulima, na sasa pia ile ya kuchinjwa na wachina. Ila jambo tusilo lijua ni kwamba Punda pia anatoa maziwa au anaweza fugwa kwa ajili ya Maziwa kama ilivyo mifugo mingine. Maziwa ya Punda yanaaminika kwamba ndiyo...
  20. CHASHA FARMING

    Mboga/Kitoweo ni changamoto sana, kuna fursa kubwa sana hapa

    Ukitembela miji mingi, kitoweo ni changamoto kubwa sana, hasa upatikanaji na pia bei zake. Ikishafika jioni huwa familia nyingi hasa hizi za vipato vya chini huwa wanawaza sana kuhusu kitoweo either hakipatikani au ni ghali sana. Mboga ni ghali sana kwa sasa, hasa hizo Samaki, Nyama na hata...
Back
Top Bottom