Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi.
Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go: http://tanzania.brac.net/images/announcement%20swahili.pdf
Application iko hapa...
Natafuta wawekezaji wa ndani (aka WaTanzania) ili kuunganisha nguvu na kuanza miradi ya ukweli. Hili linawezekana maana tayari kuna mambo mazuri yanaendelea chini ya uongozi wa Malila na wengineo. Nafikiri tukipata watu kama 20 wenye kubobea kwenye sector tofauti na kiwango cha uwekezaji iwe...
Salamu wakuu!
Naomba mchango wenu kimawazo maana nina muwekezaji anatafuta shamba kubwa maeneo ya Morogoro. Angependa sehemu inayostawisha machungwa, malimao, machenza (Citrus) na mananasi. Pia Iringa kwa ajili ya ngano, matunda na mboga.
Wataalamu, wenye uzoefu na wenye contact naomba...
Karuturi Global Plans $500 Million Investment in Tanzania Food Production
By David Malingha Doya - Aug 18, 2011 6:35 AM ET
Karuturi Global Ltd. (KARG), the worlds largest rose grower, may invest as much as $500 million in food production and processing in Tanzania as it expands operations in...
Karuturi Global Ltd. (KARG), the worlds largest rose grower, may invest as much as $500 million in food production and processing in Tanzania as it expands operations in East Africa. The company plans to lease land to grow palm oil, sugar cane and cereals in Tanzania, to add to land it has...
I wonder how others handle the investing process from afar... apart from those you know personally, are there reliable companies to invest through? How do you ensure you have sufficient/accurate/relevant data to make informed decisions? I am particularly interested in Tanzania for investments...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.