Search results

  1. Mpiga Nyoka

    Msaada: Jinsi ya kutumia Airtel bila BiS.

    Wakuu. Nimekuwa natafuta njia ya kutumia internet kwenye blackberry kwa chip yangu ya airtel kwa kuchange APN bila mafanikio. Najua ya tigo tu ila nataka ya airtel kwasababu ni cheap zaidi! Nawakilisha.
  2. Mpiga Nyoka

    Lundenga wa Miss Tanzania awaomba radhi watanzania

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI13 / 09 / 2011 YAH: KUOMBA RADHI *KWA NDUGU ZETU WALIOPATWA NA MAAFA YA AJALI YA MELI HUKO ZANZIBAR Usiku wa kuamkia Jumamosi ya tarehe 10 / 09 2011 tukio kubwa na la huzuni lilitokea huko Zanzibar ambapo wananchi wengi walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa...
Back
Top Bottom